Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Kuna Bus Linaitwa Njombe Express Linafanya Safari Zake Dar es Salaam ~ Njombe Kila Siku
Huku Nyuma Limeandikwa "Tuma Na Yakutolea"
 
[emoji16][emoji3][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji3][emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16]
Hupendi Cash Wewe? Ama Una Jambo Lako.
Napenda Tena Sana...Sasa kwanini tuombe ombe...Kwanini Usitume.mwenyewe TU...
 
Inategemea na wewe ni mrembo kwa kiwango gani, kama nk wa viwango vya nyota tano huwa zinatoka bila hata kuombwa,
Si urembo peke yake yapo mengi yanayochangia kuzitoa unaweza kuwa mrembo lakin maeneo mengine unapwaya ukaziambulia kwa muda mfupi so haitabiriki
 
Natamani kuhonga ila sheria za chama zinanibana [emoji4][emoji4]
JamiiForums1323875948.jpg
 
Kuna mmoja nilichukua namba.
Jioni akanitumia sms naomba 10,000/=
Mimi nikamjibu njoo guest Fulani uje uchukue nauli ya boda nitalipa.
Alichojibu " Mimi sio Malaya tuheshimiane"
Sikujibu wala sikumtafuta tena.
Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
 
Hakuna swali nilikua silipendi Kama mke wangu kuniuliza jioni tunakula mboga gani?,nikaja na solution ya kuwacha pesa ya mwezi mzima mana maswali ya kijinga sitakagi
Hapo ana maana utapenda akupikie mboga gani? wanawake wanapenda kufanya kile mume atakacho...ukimpa salution ndio raha yake....au mwambie isipike ntskutoa out....sio kila kitu vita mula.
 
Hapo ana maana utapenda akupikie mboga gani? wanawake wanapenda kufanya kile mume atakacho...ukimpa salution ndio raha yake....au mwambie isipike ntskutoa out....sio kila kitu vita mula.
[emoji23][emoji23][emoji23] ningekua mgeni apo sawa
 
Tunakulana ebooo😀😉
Wanalalama hawafikishwi, wakifikishwa wanalipia? Rahisi tu, waweke price tag.

Chumba kipi hicho cha hoteli nitakacholipia, halafu niambiwe kufanyia usafi chumba kabla sijaondoka?

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We ni mwanaume wa sayari gani jupiter au Mars
 
Maelezo tuu sio shida, muhimu aitoe hiyo HELA, sio unajieleza halafu unapigwa kalenda

Utakua haumpetipeti au unampa kwa kumuhesabia,

Ila sasa sisi wanaume banah tupo weak sana kwenye swala la mapenzi yani ni rahis mkatudanganya saba na kuingia mazima kuna vibomu mkitupiga hatuchomoki , halafu pia ukiona mwanaume hakupi hela basi itakua hana pesa ya kutosha au kama anazo na hakupi basi ameshakuchoka hukuoni tena kwenye ligi yake...na asili ya mwanaume ni kutoa yani kutoa tu asipo toa fanya tafiti kama hakucheat basi amekuchoka tu
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We ni mwanaume wa sayari gani jupiter au Mars
Hawa bwana waache kama walivyo, unamuoa akiwa hana mishe hata moja, mbele wala nyuma. Baada ya muda kidogo, siwezi kuwa mama wa nyumbani, nipe mtaji....

Mimi nilipata ninachofanya kwenye ndoa? Usitafute cha kufanya tangu uko kwenu, uje unisumbue mimi ukiwa na meno yako 32? Kweli? Kisha uje uniambie PESA YA MWANAMKE ni ya mwanamke. Kulea hulei tena kisa uko busy, kuchangia gharama za maisha nyumbani hutaki...

Achana nao hao kaka. We fata misaafu inavyozungumza kuhusu wao, ukitaka kuendesha gari kwa kutunga MANUALS zako utaiua gari, fuata ya manufacturer ili gari yako idumu.....soma manuals alizotoa mtengenezaji wa hii dunia, ameelezea kila kifaa na kazi yake mule
 
Suala sio kuombwa pesa bali timing.
Haiwezekani tu mara tu mkipeana namba masaa machache unaaikia baby nikuambie kitu?

Kuna demu nilionana naye kwa marq ya kwanza aaivyokuwa na aibu akaanza;

Birthday yangu kwasho kutwa naomba pesa ya;
1. Kusuka
2. Viatu
3. Halafu utaandaa chakula hotel flani.
4. Sina ngio nzuri

Pili December nasafiri kwwnda... niandalie ticket ya ndege

Haraka haraka hapa ni zaidi ya 1ml
Hapa hamjafikiana kuwa mtakuwa wapenzi au wachumbq.
Huu ni ufala, kikosa hwkima na aibu.

Kama angeenda hatua kwa hatua angepata zaidivya hizi
Huyo demu alikuchukuliaje mkuu alikuona boya au
 
Si urembo peke yake yapo mengi yanayochangia kuzitoa unaweza kuwa mrembo lakin maeneo mengine unapwaya ukaziambulia kwa muda mfupi so haitabiriki
Nakubali nakubali.. Ila pia msionyeshe tamaa ya pesa hatua za awali, acha mwanaume ajistukie mwenyewe, sisi tusipowahudumia kipesa huwa inakuja aibu tu automatically maana tumeumbwa kuwasaidia so mtuache tufanye maamuzi wenyewe tena huwa inakuaga bonge la raha na inatoka moyoni
 
Uko sahihi, binti asiye na njaa baadae akikupiga hata mzinga wa 2ml utaamini anauhitaji genuine mkuu na kama zipo utampaa
 
Utakua haumpetipeti au unampa kwa kumuhesabia,

Ila sasa sisi wanaume banah tupo weak sana kwenye swala la mapenzi yani ni rahis mkatudanganya saba na kuingia mazima kuna vibomu mkitupiga hatuchomoki , halafu pia ukiona mwanaume hakupi hela basi itakua hana pesa ya kutosha au kama anazo na hakupi basi ameshakuchoka hukuoni tena kwenye ligi yake...na asili ya mwanaume ni kutoa yani kutoa tu asipo toa fanya tafiti kama hakucheat basi amekuchoka tu
🙄🙄Ngoja Tafiti zihusike kwanza.....Nachokupendea Ba mjengo unafungukaga ukweli wote
 
Back
Top Bottom