Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Jidanganye..hata tajiri hapendi kuombwa pesa,kweni mwanaume hajui wajibu wake mpaka umuombe ombe hela,the way mapenzi ni nje na pesa,kwanini wao wakae wanawaza hela kutoka kwetu?kwa nn na wao wasitupe?

Nyaanoko
Mbona. Unakasirika wakati ni jukumu la mwanaume kumtunza familia..
KUTUNZA familia hata Chumvi ya 300..lazima nikuombe
 
Sijajua kwa wanaume wenzangu inakuaje! ..ila kwa mtu nilie nae serious ntahakikisha mahitaji yote natimiza..ila masharti na vigezo kuzingazitiwa...mfano;
1. Ananipenda kweli?
2. Hiyo hela anaombaje..kwa adabu au namna ingine..sipendi dharau
3. Uwezo wa kifedha ..kama ipo ntatoa
4. Hilo hitaji ni la msingi?
5. Nk
Tatizo mkiambiwa hali sio kama hamna tuvumilie kidogo ..mnapayuka..bila kujua mfuko wa mtu..anasahau mema yote..huyo naweza mdelete dakika sifuri.

Note: Kumgharamia mpenzi wako ni muhimu..ili kupunguza risks mbali.mbali..mradi ajielewe.
 
Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Kama huna hela hakika, ila kama unayo ni jambo la kawaida tu, na mwanamke ambaye sio mke akikuomba hela sana haizidi laki3 inategemea na hitaji lake, ila maximum ni laki3 za matumizi madogomadogo tu imezidi sana basi ni hela ya simu, usiogope kutoa ogopa kutapeliwa yani unatoa tu kumbe hana mpango nawe
 
Ila hata kama sina, ni udangaji kuomba omba hela. Sio mke wala mtoto wangu, kila wakati, sina MB, nataka kusuka, saloon, n.k utadhani ni mimi tu ndo nakuona.

Acha tu nikupe kiroho safi, tupo wachache tunajali jamani, na hata kama nilipanga kukupa 100k, ukiomba 30k, nikikupa, siongezi hata sumni, ni hiyo hiyo 30k kwakuwa umeomba

Kama nje ya matuzi haya hakuna unachokifaidi sawa una haki ya kulalama, ila kama unapiga mzigo acha uombwe unakulaje mzigo bure eboo, hujui nawe unaitembeza miles nyingi sana kile kipochi manyoya chao, wakiolewa hawatamainiki mambo ya mutual benefits
 
Back
Top Bottom