Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

jamani msimshambulie Gaijin bure.....mbona hata mimi sina?
 
Kazaliwa Ocean Road kati ya '78 au 79 halafu hana ndui? Ngoja niazime tena kile kicheko...bwa! ha! ha! ha! ha!

ocean road ndo kuna nini? maana naona osheni rodi osheni rodi....
hata mi wa engarae motonyi ninayo bana....
 
and dd it have to be so nasty!? manake ndui zingine utadhani jeraha la gobore!
 
bwa' mkubwa, uni hoo eee, sijazaliwa miaka hiyo mie, upo!

wodi ya wazazi ocean road ilifungwa mwaka 83 kama sikosei...
Kama ulizaliwa ocean road,ni 83 kurudi nyuma....
 
and dd it have to be so nasty!? manake ndui zingine utadhani jeraha la gobore!

hahahaaaaa aisee mi langu kama risasi iliacha alama
btw: mbona mi yangu ya kulia ni kaduuuchu lakini ya kushoto ndo kubwa
 
Bwa' mkubwa, uni hoo eee, sijazaliwa miaka hiyo mie, upo!

Bi Mkubwa...bwa! ha! ha! ha! ha!

Unajua sikujua kama hicho kicheko kinakukeraga. Tuachane na ya vicheko. Umezaliwa lini wewe?
 
ocean road ndo kuna nini? Maana naona osheni rodi osheni rodi....
Hata mi wa engarae motonyi ninayo bana....

bht as stupi as it sound
ocean road ilikuwa wodi pekee ya wazazi mkoa wa dsm mpaka mwaka 83 hivi...
So waliozaliwa huko hupenda jukiona wao ndo the real born town....
Watoto wa mjini...lol
 
  • Thanks
Reactions: bht
utakua ulizaliwa selian ya mjini miaka ya karibuni kabisa...lol!

mimi si wa leo my dear....lakini alama ya ndui sina.....imebidi nijichunguze niite na mashaidi...nimechambuliwa kama karanga....kila mahali wamenikagua....unajua tena hospital za nchi yetu...labda walikosea wakanichoma kusiko....lakini sina alama ya ndui.....
 
bht as stupi as it sound
ocean road ilikuwa wodi pekee ya wazazi mkoa wa dsm mpaka mwaka 83 hivi...
So waliozaliwa huko hupenda jukiona wao ndo the real born town....
Watoto wa mjini...lol

kumbeeeee asante umenitoa tongo tongo ....maana osheni rodi ilizidi!! kumbe mlikuwa na uhaba wa wadi za kujiffungulia...lol
mi wakuja mwenzio, bora umenijuza leo!
 
mimi si wa leo my dear....lakini alama ya ndui sina.....imebidi nijichunguze niite na mashaidi...nimechambuliwa kama karanga....kila mahali wamenikagua....unajua tena hospital za nchi yetu...labda walikosea wakanichoma kusiko....lakini sina alama ya ndui.....

Or maybe our skins don't keep scars!

Lolz
 
mimi si wa leo my dear....lakini alama ya ndui sina.....imebidi nijichunguze niite na mashaidi...nimechambuliwa kama karanga....kila mahali wamenikagua....unajua tena hospital za nchi yetu...labda walikosea wakanichoma kusiko....lakini sina alama ya ndui.....

wamekuchambua sana? usirudie tena, yaani lisred la bosi ndo ukalitafutie ushahidi?

inawezekana wakwetu mwayego, usikute walikunduka kwenye moja ya siti zako...kama mtu anapaswa kupasuliwa kichwa na badala yake anapasuliwa goti ndo ije kuwa chanjo ya ndui?
 
wamekuchambua sana? Usirudie tena, yaani lisred la bosi ndo ukalitafutie ushahidi?

Inawezekana wakwetu mwayego, usikute walikunduka kwenye moja ya siti zako...kama mtu anapaswa kupasuliwa kichwa na badala yake anapasuliwa goti ndo ije kuwa chanjo ya ndui?

natamani hiyo kazi ya kumchambua angeniita mwenyewe lol
 
Back
Top Bottom