Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
wanayo kushoto tu,sio kulia...
Watanzania halisi (for effects) wanazo alama pande zote mbili?
Preta sie tumekanwa hata nusu uraia basi. Huh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanayo kushoto tu,sio kulia...
Or maybe our skins don't keep scars!
Lolz
Wewe umezaliwa wapi? Kolandoto?
au labda Gamboshi....
Heheheheee wewe Gamboshi hakuna hospitali bana.
Bahati nzuri nimeishi kwa muda South Africa, Polisi wa South Africa huwa wanapekuwa ndui ili kuwabaini Wamozambique maana asilimia kubwa ni waamiaji haramu na wao ndio crime makers wakubwa Pale Johanesburg.sijui kama umenipata
ila mimi inanishangaza kuwa kama mtu hana ndui mkono wa kulia
anatuhumiwa kuwa sio raia.....
Bahati nzuri nimeishi kwa muda South Africa, Polisi wa South Africa huwa wanapekuwa ndui ili kuwabaini Wamozambique maana asilimia kubwa ni waamiaji haramu na wao ndio crime makers wakubwa Pale Johanesburg.
Ndui za Wamozambique zinatofautiana bega na za kwetu hiyo ndio alama kuu ya kuwatambuwa maana kwa lugha huwezi kuwatambuwa kuna makabila yapo pande zote kama wamasai wa Tanzania na wamasai wa kenya.
hiyo ni ndui profiling na nashangaa wanaharakati hawajalivalia njuga hilo jambo!
Mkuu mimi naunga mkono msimamo wa South Africa Wamozambique ni watu hatri kuliko vile ulivyokuwa unafikiria, uhalifu mkubwa karibu wote unawahusisha hawa watu na hasa wamejaa katika Jiji la la Johanesburg, maana ni mwendo wa masaa 3 tu kwa gari kutoka kwao msumbiji.Hiyo ni ndui profiling na nashangaa wanaharakati hawajalivalia njuga hilo jambo!
Trust me Boss huo ni uzushi Mtanzania yeyote anaerudishwa Tanzania sababu kuu inakuwa ni Ilegal Immigrant. wengi wa vijana wanaokwenda kule ni vijana wa mtaani wasiojuwa lolote, lakini Home Afairs ya South Africa wanatowa permit za kukaa pale kihalali isipokuwa kwa Wazimbabwe na Wamozambique hawa ni watu ambao hatakiwi kabisa South Africa kwa sababu ya uhalifu wa kupindukia, na hawa Wazimbabwe kama walivyo Wamozambigque nao wanakaa South kwa gia ya kujifanya ni Wandebele kabila ambalo lipo South Africa na lipo Zimbabwe.yaani hizi ndui,watu wamejikuta wanapandishwa ndege,breki ya kwanza
airport daresaalam..wasiokuwa na ndui wakijifanya sio wa tz wanapeta...
Tena chini ya '83 ndo '79!
Mnanini nyie! Lol
Kuna mambo ukisikia unaweza kupuuza
but ukisikia tena na tena unajikuta unashangaa
nauliza ni watanzania tu wenye ndui duniani?
Na je ni watanzania wote,waliozaliwa tanzania??????
Kuna mtu kaniambia south africa wakikamatwa wahamiaji haramu
watanzani wanatambuliwa kwa alama ya ndui begani...
Wanawekwa wote kwenye ndege na kurudishwa
hata ukijifanya we mburundi au msudan hawakuachii kama una ndui
mwingine akaniambia polisi wa mipakani wakikukuta huna ndui begani unatuhumiwa kuwa sio raia
mmewahi sikia hili?????????
Ndui ni ugonjwa, ile alama ya mkononi inatokana na chanjo dhidi ya ndui, na si "ndui".
Kuna nchi nyingi za Afrika na Carribean zilifanya hii chanjo.
Hiyo alama unaweza kuwa na mikono yote miwili, kwa sababu ilikuwa inatolewa mara mbili kama sikosei... Na hata wazungu wanao, nadhani ni nyuma ya bega...!thanx
nilikuwa namaanisha hiyo alama hasa mkono wa kulia
<br />Ina maana nchi zingine hawapigwi ile sindano ya ndui?
Wapo wengi tu.<br />
<br />
ndio maanake ulishawahi ona mzungu wa ulaya ana ndui..
jamani msimshambulie Gaijin bure.....mbona hata mimi sina?