Mwanbie aweke clip hapa ya hicho ki English anachosema anajua.ENGLISH is the International language!!
it is enough!
Hicho unachojua ndio kinachofaa!Habari za muda, ndugu zangu.
Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au unaweza kutumia Kingereza pekee?
Mimi najua Kingereza tu, na nataka kufahamu umuhimu wa kujua lugha hizi nyingine.
Mwanbie aweke clip hapa ya hicho ki English anachosema anajua.
Zimbabwe ni moja kati ya nchi ambazo raia wake wanaongea british safi zaidi ya nchi nyingi hapa Afrika.ENGLISH is the International language!!
it is enough!
Let me tell you a simple truth of mine
About 3 yrs ago i got a chance to visit Zimbabwe and i was as worrying as you are coz i didnt know the truth that about everywhere in the world there are english speakers.
So worry out and make sure TUNAENDA WOTE
Kiinglish shida! Umeibuka kwa nguvu ila lazima uandike lugha usiyoifahamu?ENGLISH is the International language!!
it is enough!
Let me tell you a simple truth of mine
About 3 yrs ago i got a chance to visit Zimbabwe and i was as worrying as you are coz i didnt know the truth that about everywhere in the world there are english speakers.
So worry out and make sure TUNAENDA WOTE
Kiinglish shida! Umeibuka kwa nguvu ila lazima uandike lugha usiyoifahamu?
Mh! Ama kweliThe question was questioning about the question i answered.
What is your problem?
Kama unataka kwenda South Africa nakushauri komaa hapa hapa bongo au Tafuta Nchi nyingine ya kwenda kijana.Habari za muda, ndugu zangu.