Hivi ni lazima nikienda South Africa nijue lugha zao nyingine apart from English?

Dullah694

Member
Joined
Jan 20, 2021
Posts
32
Reaction score
58
Habari za muda, ndugu zangu.

Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au unaweza kutumia Kingereza pekee?

Mimi najua Kingereza tu, na nataka kufahamu umuhimu wa kujua lugha hizi nyingine.
 
ENGLISH is the International language!!

it is enough!

Let me tell you a simple truth of mine
About 3 yrs ago i got a chance to visit Zimbabwe and i was as worrying as you are coz i didnt know the truth that about everywhere in the world there are english speakers.

So worry out and make sure TUNAENDA WOTE
 
Hapana, English tu inatosha. Utajikuta mara nyingi wanakusemesha kizulu wakiamini wewe ni mzulu mwemzao lakini ukijibu kwa kingereza excuse me, wanaelewa na kubadilisha lugha haraka sana.

Labda ujifunze salamu common.
Kama ni salamu zao kama Unjani ama sawubona (Hello, mambo) unajibu Ngyapila(Poa, Salama). Baada ya hapo unasukuma kizungu.
 
Habari za muda, ndugu zangu.

Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au unaweza kutumia Kingereza pekee?

Mimi najua Kingereza tu, na nataka kufahamu umuhimu wa kujua lugha hizi nyingine.
Hicho unachojua ndio kinachofaa!
 
Sio lazima ujue kila lugha ya huku. Pitia uzi huu kuna kitu utajifunza kabla ya kuanza safari yako mkuu.
 
Attachments

  • Screenshot_20240914-170511.jpg
    Screenshot_20240914-170511.jpg
    292.1 KB · Views: 10
ENGLISH is the International language!!

it is enough!

Let me tell you a simple truth of mine
About 3 yrs ago i got a chance to visit Zimbabwe and i was as worrying as you are coz i didnt know the truth that about everywhere in the world there are english speakers.

So worry out and make sure TUNAENDA WOTE
Zimbabwe ni moja kati ya nchi ambazo raia wake wanaongea british safi zaidi ya nchi nyingi hapa Afrika.
 
ENGLISH is the International language!!

it is enough!

Let me tell you a simple truth of mine
About 3 yrs ago i got a chance to visit Zimbabwe and i was as worrying as you are coz i didnt know the truth that about everywhere in the world there are english speakers.

So worry out and make sure TUNAENDA WOTE
Kiinglish shida! Umeibuka kwa nguvu ila lazima uandike lugha usiyoifahamu?
 
Sio lazima kujua lugha yao. Sema na wewe ukifika jifunze salamu na vitu vingine vichache ... kwa mfano ukienda kwa mama ntilie au wafanyabiashara ndogondogo ujue kuuliza hata bei kwa kikwao. Kimsingi Zambia, Zimbabwe, SA, Namibia na Botswana ukijua kiingereza utaishi fresh tu.
 
Habari za muda, ndugu zangu.

Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au unaweza kutumia Kingereza pekee?

Mimi najua Kingereza tu, na nataka kufahamu umuhimu wa kujua lugha hizi nyingine.
Kama unataka kwenda South Africa nakushauri komaa hapa hapa bongo au Tafuta Nchi nyingine ya kwenda kijana.

Utanishukuru badae.

Wena ufana kukaka Wena uzonya mfana wami. Indaba ya south Africa haiko le manje niks niks ipelile bafwetu
 
Jifunze kireno ukapige hela msumbiji. kule wenyeji bado wamelala usingizi wa pono.
 
Back
Top Bottom