GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kweli nilisahau kuandika kutokea wapi. Ni kutokea Mkoani Dar es Salaam Mkuu.Kutokea wapi Sasa mkuu au Kagera kama dar pitieni Arusha ndo utauina umbali halisi [emoji3]
Msaada kwa hili Chocho la kupitia Mkoani Arusha tafadhali Mkuu.Ipo unapita Arusha kama una private au una unga
Kama anatokea Dar hakuna nafuu yoyote kwake. Bora apitie njia ya Dar kwasababu hiyo ya Arusha kimeo. Hataweza kupita getini Ngorongoro kwasababu atafika pale ishakuwa usiku. Popoma kama anataka kuwahi apande tu ndege.Wengine wanapitiaga Arusha huko mto wa mbu.. Pia naskia lipo chocho la nje mitaa ya Shinyanga kama sio Tabora unatokea karibu serengeti
Popoma hii njia ya Arusha ni ndefu sana bora ya Dar - Mwanza - Musoma.Msaada kwa hili Chocho la kupitia Mkoani Arusha tafadhali Mkuu.
Mwaka 2000 nilipita hiyo njia ya kupita Namanga Kenya kisha kuvuka Migori na kuingia Sirali Tanzania na kufika Kijijini Uzanakini nikiwa Hoi na sikuipenda tena na niliporejea Mkoani Dar es Salaam nilipata Lifti ya Ndege ya Jeshi iliyokuwa ikimbeba CDF Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri kutoka Mkoani Mara kuja Kutibiwa Lugalo Military Hospital na Kuichukia kabisa hiyo Ruti ya Tanzania - Kenya - Tanzania.Hope ni kutokea dar popote utakapopita ni lazima ufike usiku au kesho kabisa mfano ni Arusha Serengeti mara au Dar Arusha Nairobi Sirari napo parefu Ile safari ni kipengele nadhani ukipita hapo kwa wasingida ndio inakuwa rahisi zaidi
Mkuu yaani Nimecheka mpaka basi!!Kwa kuwa nyie ni wagumu" njia ya Karatu,Serengeti inawafaa . Hata nabasi yenu Yale yenye mlango katikati ... Mtei , Zakaria na Kaprikon yapo tele!
Kumbe umewahi kupanda ndege!Mwaka 2000 nilipita hiyo njia ya kupita Namanga Kenya kisha kuvuka Migori na kuingia Sirali Tanzania na kufika Kijijini Uzanakini nikiwa Hoi na sikuipenda tena na niliporejea Mkoani Dar es Salaam nilipata Lifti ya Ndege ya Jeshi iliyokuwa ikimbeba CDF Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri kutoka Mkoani Mara kuja Kutibiwa Lugalo Military Hospital na Kuichukia kabisa hiyo Ruti ya Tanzania - Kenya - Tanzania.
Acha Bangi hiyo Nauli ya Ndege niitoe wapi? Kwa Uzi huu najua nitacheka mno kwa Comments zenu hasa nyie Wapuuzi Watani zangu niliowachokoza kwa Makusudi hapo juu.Kama anatokea Dar hakuna nafuu yoyote kwake. Bora apitie njia ya Dar kwasababu hiyo ya Arusha kimeo. Hataweza kupita getini Ngorongoro kwasababu atafika pale ishakuwa usiku. Popoma kama anataka kuwahi apande tu ndege.
Mpaka Ungo.Kumbe umewahi kupanda ndege!
Ile njia ya Arusha kama unatoka Dar unakata Chalinze Tanga vijijini moshi afu Arusha maraMsaada kwa hili Chocho la kupitia Mkoani Arusha tafadhali Mkuu.
Asante kwa huu Mwongozo wako Mkuu ila umenifanya nicheke sana kwa huu mtiririko wako wa Kimaelezo.Washa chombo saa 10 usiku then ondoka Dar kupitia bagamoyo, korogwe, Arusha, mto wa Mbu, Ngorongoro, Fort Ikoma gate, Serengeti hapo utaamua kuingia njia ya Mugumu - Tarime au Ikizu nyamuswa then unastop Butihama kuweka maua kwenye kaburi la Father of Nation kisha unaitafuta makutano mbele kidogo kwa mbali unaliona Ziwa Victoria.
Musoma hiyo hapo.