ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jul 2, 2023 #61 Copa Cabana said: Imeisha hiyo Click to expand...
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jul 2, 2023 #62 rodrick alexander said: Wakati was utawala was Magufuli nilisikia meneja wa tanrod akizungumzia Kuna njia inasubiri daraja kujengwa Singida kwa mbele ambayo itapunguza km 600 Hadi Mara ;lakini mpaka Sasa sijasikia chochote Click to expand...
rodrick alexander said: Wakati was utawala was Magufuli nilisikia meneja wa tanrod akizungumzia Kuna njia inasubiri daraja kujengwa Singida kwa mbele ambayo itapunguza km 600 Hadi Mara ;lakini mpaka Sasa sijasikia chochote Click to expand...
TUNDALI JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 440 Reaction score 231 Jul 2, 2023 #63 GENTAMYCINE said: Napanga kwenda Kijijini Uzanakini Kutambika ama mwaka huu au mwakani au hata Mwaka Keshokutwa hivyo najiandaa taratibu na Njia za Kupita. Click to expand... 1. Dar- Arusha pumzika, pita njia ya Longido - Oldonyolengai- Wasso - Soitisambu- Klein's gate- Mugumu- Ikizu-Butiama. 2. Dar- Arusha pumzika, pita Karatu- Mbulu-Mkalama- Sibiti- Meatu- Bariadi- Lamadi Bunda-Ikizu-Butiama. 3.Dar-Arusha pumzika, pita Karatu-Ngorongoro-Serengeti- Ikoma Ikizu-Butiama. Gari liwe imara 4WD na tairi zinazohimili mikiki, (Rough road)Mf: Land cruiser H/Top, Nissan patrol, Land Rover defender usijaribu huko Range Rover sport, Kluger, Rav 4, Harrier utaliacha huko njiani. 4. Njia nyingine Dar- Singida pumzika-Singida -Shinyanga - Maswa -lamadi -Bunda-Butiama, Gari lolote utafika Barabara ni nzuri (Lami). SAFARI NJEMA MKUU.
GENTAMYCINE said: Napanga kwenda Kijijini Uzanakini Kutambika ama mwaka huu au mwakani au hata Mwaka Keshokutwa hivyo najiandaa taratibu na Njia za Kupita. Click to expand... 1. Dar- Arusha pumzika, pita njia ya Longido - Oldonyolengai- Wasso - Soitisambu- Klein's gate- Mugumu- Ikizu-Butiama. 2. Dar- Arusha pumzika, pita Karatu- Mbulu-Mkalama- Sibiti- Meatu- Bariadi- Lamadi Bunda-Ikizu-Butiama. 3.Dar-Arusha pumzika, pita Karatu-Ngorongoro-Serengeti- Ikoma Ikizu-Butiama. Gari liwe imara 4WD na tairi zinazohimili mikiki, (Rough road)Mf: Land cruiser H/Top, Nissan patrol, Land Rover defender usijaribu huko Range Rover sport, Kluger, Rav 4, Harrier utaliacha huko njiani. 4. Njia nyingine Dar- Singida pumzika-Singida -Shinyanga - Maswa -lamadi -Bunda-Butiama, Gari lolote utafika Barabara ni nzuri (Lami). SAFARI NJEMA MKUU.
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Jul 2, 2023 #64 Too fake
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Jul 2, 2023 #65 uwe hodari said: Too fake Click to expand... What is too fake Madam