Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Ujue mikia mnachekesha sana kama sio kusikitisha.Mkuu, unafahamu nafasi walizokuwa nazo Mwakyembe na Shonza kwenye serikali iliyopita?
Mbona hilo liko wazi?
Muulize basi Huyo mwehu wa jf kuwa hiyo barua aliyoileta imeandikwa kwenda kwa waziri gani?..
Msinichoshe