Hivi ni lini Malalamiko ya Michezo yakashtakiwa kwa Msemaji wa Serikali?

Mkuu, unafahamu nafasi walizokuwa nazo Mwakyembe na Shonza kwenye serikali iliyopita?
Ujue mikia mnachekesha sana kama sio kusikitisha.
Mbona hilo liko wazi?
Muulize basi Huyo mwehu wa jf kuwa hiyo barua aliyoileta imeandikwa kwenda kwa waziri gani?..

Msinichoshe
 
Ujue mikia mnachekesha sana kama sio kusikitisha.
Mbona hilo liko wazi?
Muulize basi Huyo mwehu wa jf kuwa hiyo barua aliyoileta imeandikwa kwenda kwa waziri gani?..

Msinichoshe
Mwehu na Shoga nani ni Hatari zaidi katika Jamii na anayetia Aibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…