Je bajeti ya apple?Most of that value is a mere speculation.
Bajeti ya nchi ni real money
Kwa budget ya apple ya tril 32 kwa mwaka Ina uwezo wa kuilisha Tanzania kwa Muda wa miaka 46Je bajeti ya apple?
Bajeti sio real money hasa kwa nchi kama Tanzania. Kila mwaka hela nyingi zilizoahidiwa kwenye bajeti hazifiki kunakohusika na sehemu ya bajeti ni hela ya msaada.Most of that value is a mere speculation.
Bajeti ya nchi ni real money
Most of that value is a mere speculation.
Bajeti ya nchi ni real money
Maelezo mazuri Ila amelinganisha BAJETI na thamani sio GDP na thamani.Mkuu, hapa kuna tatizo la kuchanganya dhana mbili tofauti kabisa za uchumi.
Apple market cap na GDP ya Tanzania si vitu vinavyopimwa kwa kipimo kimoja. Market cap ni thamani ambayo wawekezaji wanaipa kampuni kwenye soko la hisa, wakati GDP ni thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa nchini ndani ya mwaka mmoja.
Ni sawa na kusema nyumba yangu ina thamani ya milioni 500 halafu nikajilinganisha na mtu anayepata mshahara wa milioni 50 kwa mwaka. Namba zinaweza kulinganishwa, lakini kiuchumi ni vipimo viwili tofauti.
Kitu kingine ambacho watu wengi hawakielewi ni kwamba Apple haina fedha zote zinazolingana na market cap yake. Market cap ni makadirio ya thamani ya kampuni kutokana na bei ya hisa zake. Kesho hisa zikishuka kwa 20%, mamia ya mabilioni ya dola yanaweza "kutoweka" kwenye market cap bila hata iPhone moja kupotea.
GDP ya Tanzania kwa upande mwingine ni shughuli halisi za kiuchumi: kilimo, madini, viwanda, biashara, usafirishaji, utalii, huduma n.k.
Kwa hiyo kusema "Apple ina thamani sawa na bajeti ya Tanzania ya miaka 200" kunavutia kusoma lakini si uchambuzi sahihi wa kiuchumi. Comparison yenye maana zaidi ingekuwa Apple revenue dhidi ya GDP ya Tanzania, au market cap ya Apple dhidi ya market cap ya makampuni yote yaliyosajiliwa kwenye soko la hisa la Tanzania.
Tusipende namba kubwa zikatushangaza mpaka tukaanza kulinganisha maembe na pikipiki.
ikiwa ni hivyo,Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
View attachment 3597923
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
View attachment 3597924
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple wanathamani mara 200 zaidi ya budget yetu?
Na hapo sio kwamba Apple ndio kampuni lenye thamani kubwa Marekani, wapo wababe juu yake.
Au mi nirudi shule?
You aren’t serious! Unawezaje kuilinganisha Apple na Tanzania? Sisi size yetu ni individual billionaires, sio heavyweight corporations!Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
View attachment 3597923
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
View attachment 3597924
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple wanathamani mara 200 zaidi ya budget yetu?
Na hapo sio kwamba Apple ndio kampuni lenye thamani kubwa Marekani, wapo wababe juu yake.
Au mi nirudi shule?
Mkuu, Hata hivyo hoja yangu kuu bado ipo.Maelezo mazuri Ila amelinganisha BAJETI na thamani sio GDP na thamani.
Bado hujaiweka kwenye uzito watu watalichukulia poa hili.Bajeti sio real money hasa kwa nchi kama Tanzania. Kila mwaka hela nyingi zilizoahidiwa kwenye bajeti hazifiki kunakohusika na sehemu ya bajeti ni hela ya msaada.
Hiyo ni thamani ya kampuni (market capitalization) sio net worth. Market capitalization ya kampuni ni jumla ya thamani ya hisa zote za hiyo kampuni. Kwa kifupi hayo ni mahesabu ya kwenye makaratasi tu. Thamani ya hisa hupanda na kushuka kutokana na perfomance ya kibiashara ya kampuni husika. Hizo hisa za apple zinaweza kushuka na kushusha thamani ya kampuni muda wowote kutokana na mazingira mbalimbali.Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!