GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Kulinganisha Kampuni na Nchi, sioni kama imekaa sawa.
Kwa sababu kampuni linafanya biashara, wakati Nchi inatoa mostly huduma.
Kitu kingine hata model uliyoitumia si sawa, apple kila kitu kinasamanishwa, sisi kama nchi hatuthamanishi mali zetu.
3. Apple ni kampuni kubwa sana.
Tanzania ni nchi ndogo sana na maskini. Bado tuhangaika kusambaza maji safi.