Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

Nilicho notice mkuu ni kuwa unachukia ualimu licha ya uduni wa maslahi kuchukia kwako kada ya ualimu ndio kunakupa stress ongezea ugumu wa pesa basi inakuwa vuruga tupu..

Ndio maana wenye busara wanatusisitiza kufanya kazi tunazopenda lengo ni kuwa hata kama hupati pesa basi utakuwa unaenjoy unachofanya.

Umasikini ni kitu kibaya sana mungu tusaidie mbinu za kukabiliana nao
 
Mkuu somo kidogo hapa kwenye single na double life.
 
Duuh pole sana mkuu maana hata kama huna familia hiyo ni ndogo sana ila nakushauri usiache kazi kwa sasa kama una mdogo wako au chalii mpambanaji na upo eneo lililochangamka pambana upate angalau lak7 umuekee kibanda cha tigo pesa halafu pambaneni kukitaftia mtaji huku ukitumia ajira kama backup ya mtaji

Kama utahitaji details zaidi nichek pm huenda tukasaidiana mawazo zaidi
 
Asante kwa ushauri leo sijapata comments (jumbe) za kukatisha tamaa
 
Usikate tamaa ,Amini Mungu hatakuacha .
 
Kimbunga hidaya hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…