Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

Siku zote nawambiq watu wanasema ooh unatutukana lakini kazi ya ualimu dunia nzima ni dead end job? Yaani ukiona mtu anaifanya kazi hii jua kabisa yupo kwenye bottom ya economic food chain. Ufundishe ,utoe notes ( private schools),Usahishe madaftari, usimamie darasa( classmaster) , ujaze yale ma document yao ( logbook, scheme of work, strategic plan na mablaa blaa mengine kibao), ufatilie wanafunzi watukutu na mavitu mengine mengi. Ivi mazingira kama haya unaachaje kuwa insane??? Ndio maana ma teacher wengi ukuwaona unaweza kufikiri wamechanganyikiwa. Alafu mwisho wa siku salary kiduchu sana. Kazi ya kijinga sana hii. Kama unatk kufa maskini na ukiwa na stress basi endelea kuogopa kuacha kazi ya ualimu
 
Mkuu kusave pesa kwa mshahara tu hicho hakiwezekani
 
Sasa mwaya ukiacha kazi madeni yataisha,na familia utaimudu kweli bila kazi?cha msingi waza namna ya kukuza kipato chako,tafuta biashara fanya,fuga na lima.mtaani hakufai aisee,heri nusu Shari kuliko Shari kamili.
Bora shari kwingine sio kwenye ualimu. Kazi ya ualimu unachukiwa dunia nzima. Ingia reddit uone wamarekani wanavyolia na kuomba ushauri namna ya kujitoa kwenye hii kaz
 
Mchawi wako mikopo, kaza roho mpaka iishe yote. Hapo unaweza ukafanya lolote aidha kuweka msingi wa maisha au kupata mtaji uache kazi.

Pole, niko ajirani pia. Ajira ni umasikini. Sorry, una umri gani kazini?
 
embu walime block hao watu wa tano kwanza kwa miezi mitatu then uje kunishukuru hapa
 
"Vilevile inaonekana unapopata fedha zote zinaishia kwenye madeni ilo ni kosa hata kama unadaiwa na Kijiji kizima"


[emoji1540]Yes, hata kama unadaiwa na kijiji, wengine warushe. Madeni kitu gani bwana.

Huyu atakuwa kakopa kwenye taasisi asizoweza kukwepa. Kadi kawekeza pia. Namshauri atengeneze loss report
 
Ushauri wa kijizi na kitapeli huu.

Tunamshauri apunguze wategemezi asitoe sana pesa, wewe unamshauri akazitoe kwa mlango mwingine.
 
Unafanya kaz unaona changamoto? ukianza kufanya biashara ni zaidi inahitaj uwe mwanafunz kila siku.. kaa chin jifunze fanya analysis wenzio hawanaa hata kazi ila wanafeli kila mwaka ila wanajifunza na kupana uzoefu baadae lazima atobeeee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…