Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

Mchawi wako mikopo, kaza roho mpaka iishe yote. Hapo unaweza ukafanya lolote aidha kuweka msingi wa maisha au kupata mtaji uache kazi.

Pole, niko ajirani pia. Ajira ni umasikini. Sorry, una umri gani kazini?
8
 
Ukiona unachukia ulipo, hiyo ni ishara kuwa unakotaka kwenda utafika.
Siku zote uoga hautakupa unachokitaka.
CHukuwa mamuzi ambayo ukifaulu yatakupa matokeo chanya.
usiangalie watu watakuona je wakati kila mmoja anapambana na maisha yake.
Comfortable zone kills vision
 
Ushauri wa kijizi na kitapeli huu.

Tunamshauri apunguze wategemezi asitoe sana pesa, wewe unamshauri akazitoe kwa mlango mwingine.
Kila pesa Duniani,Kila utajiri unaoujua unalindwa na nguvu HASI au chanya!!

Hakuna pesa neutral ,kama unapesa unayohisi ni neutral Basi ikipigwa na mawimbi itakimbia kimbio kuu ambalo huwezi kabisa kuzuia!!!

Ndio maana utakuta Fulani alikua nazo lakini Sasa Hana kitu coz kimbio kuu lilitokea!!

Kupunguza wategemezi sio suluhisho kwake coz uhitaji utabaki pale pale!!!

"Yupo atawanyae lakini hujazwa,yupo azuiae lakini huuendea uhitaji"!!

Huo mfumo nimeujaribu,it works out!!
 
mheshimiwa endelea kutupatia nondo
 
Kazi gani hiyo unalipwa laki mbili..... Mshahara wa laki mbili hauwezi kukufikisha popote
 
Usikate tamaa, kuna mwanamke alipata kazi ya ualimu, mshahara kidogo, ila alicheza na mikopo na akasomesha kaka zake wawili huku anajikita katika kilimo. Vijana wamemaluza kidato cha sita, nae akaamua kuolewa. Vijana sasa wanapambana na hali yao. Tuliza tu akili, cheza na mikopo ya benki ila uwe makini, nidhamu ya pesa ni muhimu.
 
Mmmh Mzee angalia usije ukajinyonga maana hayo makolokolo ni mengi usitumie nguvu nyingi kutatua vitu vilivyo nje ya uwezo wako mzee,misaada hutoka kwenye ziada wa muhimu ni baba na mama Yako.wengine wale kwa kutumia macho pia punguza kuhonga kwani umeoa watoto wakusingiziwa wa kazi Gani mzee.pambana uckate tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…