kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #61
After 2 years juzi ndo kanitafuta sikujua kama ni yeye nikawa nimepokea ndo akaanza kunieleza huo upuuzi, nilikuwa na ex kama huyo wako sema yeye hakuwa ananitafuta kwa namba ngeni ila alinisumbua ni aina ya wanaume ambao hawakubali kuachika yaani ving'ang'a na wao ndo wanakuwaga na changamoto katika mahusiano.Kumbe unapokea na simu zao? π³
Mimi ex wangu tulisumbuana kukatiana mawasiliano, nikimblock anatumia namba nyingine. Alianza mpk kunifatilia kila ninachofanya, hapana yule mwanaume alijua kuninyoosha..!!
Mwenzio nilitamani kuhama nchi ili nipumue lakini mwisho nilikaza nikaona ananizoea..!!
Mpaka leo sitaki mazoea na mtu, na hapa sio km hanisumbui anaendelea ni vile simchekei.
Hao wanataka uteleji rahisi tu hamna lolote jipya la kukurudiaGuys hakuna kutiki oktoba.
Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.
Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.
Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.
Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
Ndiyo hapo sasa akinitafuta ntamwambia afanye mambo yake mimi nina mahusiano yangu na nakaribia kuolewa ili akome kunisumbuaπ€Usimkubali, kataa kufanywa kiburudisho..!!
Kwanza magonjwa ni mengi una uhakika gani huko alikotoka km kuna usalama??
Duh! Basi hawarambi kituHao wanataka uteleji rahisi tu hamna lolote jipya la kukurudia
Sijabadilisha namba tatizo ndiyo maana imekuwa rahisi kwake kunipata anyway nimekuelewa asante kwa ushauri wako, nadhani nilikosea kupokea simu na kujibu meseji zake, ntajirekebisha.
Duh! Basi hawarambi kitu
HapanaRelax Mkuu Huu mchezo hautaki asira, Kwani umeolewa?
Hili ni muhimu sana na hasa kwa wanawake. Shida inaweza kuwa upande wake.Nafikiri ukiwa na wapenzi wa zamani wengi inabidi ujifanyie tathmini binafsi pia.
Kumbe unapokea na simu zao? π³
Mimi ex wangu tulisumbuana kukatiana mawasiliano, nikimblock anatumia namba nyingine. Alianza mpk kunifatilia kila ninachofanya, hapana yule mwanaume alijua kuninyoosha..!!
Mwenzio nilitamani kuhama nchi ili nipumue lakini mwisho nilikaza nikaona ananizoea..!!
Mpaka leo sitaki mazoea na mtu, na hapa sio km hanisumbui anaendelea ni vile simchekei.
Hapana
Nini hiyo?Uchoyo tuu, Kwani unalipia kodi?
Hili ni muhimu sana na hasa kwa wanawake. Shida inaweza kuwa upande wake.
Hana nia ya kuoa kwasasa anataka kuendelea kunichezeaSasa kuna shida gani, Si uumpe adress ya nyumbani apeleke posa
Utaelewa tuDuh! Sijaelewa huku mwishoni
Sahemu sahihi huwa inafananaje?Ni bora hivyo kuliko kung'ang'ana sehemu isiyo sahihi
Atakimbia miguu iguse kisogo ππSasa kuna shida gani, Si uumpe adress ya nyumbani apeleke posa
Jichanganye inawezekana anacho kumbuka ni show za kitandani, kichwa cha chini ndio kinamlazimisha akutafute wewe. Halafu binti unakuwa vipi na lundo la ma-ex inabidi hata wewe ujitafakariGuys hakuna kutiki oktoba.
Moja kwa moja kwenye point, ipo hivi asilimia kubwa ya maex zangu huwa wananitafuta na kujifanya wanataka kurudi wamegundua mimi ndiye nilikuwa sahihi kwao.
Bahati mbaya ni kwamba nikishafunika kurasa, huwa nachana kabisa hiyo karatasi, kuna huyu ex wangu mmoja mimi ndiye nilimuacha kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu kwa wakati huo.
Ni miaka mitatu nyuma, sasa hii wiki ameanza kunisumbua anataka kurudi, vimeseji vya mahaba kila dakika, naonaga anapoteza muda tu kwangu mimi ni bora kuanza upya kuliko kuwa naye.
Hivi huwa wanarudi kufanya nini tena kwenye maisha yetu hawa viumbe?
Bwashee daftari likijaa ananunua lingine,tusitishane bwanaHizi mambo za kujifanya ukifunika kurasa unaaachana na hiyo karatasi utajikuta umejaza daftari zima.
Jini ulijualo halikuli likakwisha.
πππππSio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!
Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.
Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!
Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa πΉπΉ
Una balance shobo akafie mbele..!!
πππππKumbe unapokea na simu zao? π³