Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kilometers laki 1 Tena za Japan, hio bongo ni mpya kabsaaaaaIpo imara sana maana imetembea kilometres chache sana
Au nasema uongo ndugu yangu ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Waifu waifu..
๐๐๐๐ila wewe kibokoWaifu waifu..
Natamani nikuite my wife ila naogopa kutokana na sifa zako kuwa ni mwembamba oky all in all leo nilikua napelka mzigo wa shangazi wangu wa rangi tatu .. bahat mbaya nikapata kaajari aiseee ant huyu ana huruma sana an alivyosikia tu nimeanguka chap kaomba ruhusa kazini kanifata .. kiufupi akanipa nikala na nikala tena.
Turudi kwenye swali lako. Kuhusu ma ex kusumbua... Kiufupi mimi sio ma ex tuu mpaka ma z an wakuu hawa watu sijui labda nawaroga au laah..
Mi nakula ex wangu yoyote hata akiwa kaolewa na nani aiseee na wenyewe wanasema "" ujue PB mimi na wewe hatujaachana mda wowote nafata tamu yangu""
Ndo mana mimi kuoa ni ngumu sana aiseee sema mishangazi ikikuacha haina kukusumbua sheenzi zao an yakikutafuta yatakuambia tuu toto bado unauzaga cheni na shanga...
Ukisema ndio linakuambia leta sehemu flani ukienda tuu jua hutoki bila kulomba mtu ahahahahahah
Wabilah taufiq
Ahahah kawaida bana... Huwa nakamia kiasi ambacho kuacha naacha mimi an mtu akishapitishiwa hili rungu jua kutoka kwangu ni ngumu...๐๐๐๐ila wewe kiboko
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃdah! Hao wamama si unawakomesha sanaAhahah kawaida bana... Huwa nakamia kiasi ambacho kuacha naacha mimi an mtu akishapitishiwa hili rungu jua kutoka kwangu ni ngumu...
Kama ni moto basi huu ni class C Petrol
Na kama ni Bond basi ni Covalent ahahahah
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Na nimezaliwa kwa ajili ya hiyo kazi..๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃdah! Hao wamama si unawakomesha sana
Watakuja kukufia๐ ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Na nimezaliwa kwa ajili ya hiyo kazi..
Mi nakomesha kweli kweli ila uwezi amini wenyewe wanasema wanataka tena na tena..
Unajua ni mmoja tu nakumbuka ndo.aliweza kupona yaan baada ya show hakulala akavaa na akasepa akiwa fit hana uchovu ila hawa wengine yaan hualala usingizi mzito huku wakiwa wanasema "" baba naomba asbhi kimoja tu maana nahisi kufa kufa maji hayapo.mwilini"""
Weee unazani napelka pelka tuu moto pia naangalia na health status ake...Watakuja kukufia๐ ๐
Nakuona mzee wa taruraInaonyesha ulikua nao Weng Sana, labda k yako Tamu Sana, au ulikua unawapitisha tarura
Nakazia mdogo wanguSio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!
Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.
Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!
Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa [emoji81][emoji81]
Una balance shobo akafie mbele..!!
Ndio ndio
- Mmeachana for a reason, simamia kile ulichokiamua, kucheka cheka na maex inafanya wakuone hauna misimamo.
- Wablock, kuwa na mawasiliano na maex si nzuri pia kwa mahusiano yako mapya (kama unayo au utataka kuwa nayo huko mbeleni).
- Akikupigia na namba nyingine, ukisikia sauti yake kata simu, usiongee naye.
- Usiwe na huruma na wanaume, la sivyo utatumika sana. Kaza bidada [emoji28] [emoji41]
Ni hayo tu!
Kuna watu wanapenda ngono kama chakula kumbe๐ ๐Weee unazani napelka pelka tuu moto pia naangalia na health status ake...
Kuna wengine wana presha..
Kuna huyu alikuja na vidonge kabisa anasema hv vidonge ni lazima ameze maana alisema kuna mda akiwa amekalia ule moto huwa presha kama inapanda ahaahahahaha nilicheka sana...
Nikamwambia leo ntafanya kinyonge.. wee aliwaka huyo akasema we ichape vilivyo...
We ujawahi ukutana na ishu ka hiyo ukahisi kama unapaa angani...
Bella kombo ft zoravo Ameniona ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ
Hata mimi nimeshtuka hata meseji zake sijibu kwasasaSijui ata nacheka nini ila ex harudiwi kipenzi ukiona anarudi ana sababu zake ila mapenzi hakuna
Hivi mnawezaje kuwasiliana na ex wako me tukiachana na no yako nafuta na ninakunywa mkojo ili nisikukumbuke kwa chochote [emoji1787][emoji1787] na kusahau kwa kila kitu najisemea huyu marehemu nisimkumbuke kwa chochote
Asante mkuuJikaze acha ulaini hivo kuwa mbuzi kidogo๐
๐๐Asante mkuu
Sis ๐Nakazia mdogo wangu