Hivi ni mkoa gani hata kwa dawa huwezi kwenda kuishi uko[emoji24][emoji24]??

Sumbawanga na Kagera.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sumbawanga hakuna kitu kibaya mzee! Nilikua kama wewe naamini mambo yanayosemwa kwa miaka mingi na niliapa kutokwenda huko hata iweje, Mungu si Athumani kipindi nasoma chuo nikapangiwa field huko miezi 2 niliishi bila shida wala kusikia scandals zozote kuhusu stories tunazotishana humu....
.........Watu wa sumbawanga washakua civilized pia Swax ni mji unaokua na ni mzuri kibiashara za nafaka na kilimo (Maharage, mahindi na Alizeti, sema kulingana na utawala wa Meko asaiv mambo magumu kidogo kutokana na kwamba mazao yao huuza zaidi Zambia) na kwa taarifa yako tu mtu akigundulika kule ni mchawi anapigika na raia mpaka kifo, ni kwa sababu walozi ndio wana waharibia sifa za mji kwa watu kutoka mikoani..

..... Pia nimedate sana na mabinti wa kifipa mwingine nimekaa nae miaka 3 bila tatizo, Tuache imani za kijinga duniani asaiv ime change na inapokea mabadiliko kadri muda unavyoenda watu wanastaarabika...

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app
 
Sumbawanga hakuna kitu kibaya mzee! Nilikua kama wewe naamini mambo yanayosema kwa miaka mingi na niliapa kutokwenda huko hata iweje, Mungu si Athumani kipindi nasoma chuo nikapangiwa field huko miezi 2 niliishi bila shida wala kusikia scandals zozote kuhusu stories tunazotishana humu....
.........Watu wa sumbawanga washakua civilized pia Swax ni mji unaokua na ni mzuri kibiashara za nafaka na kilimo (Maharage, mahindi na Alizeti, sema kulingana na utawala wa Meko asaiv mambo magumu kidogo kutokana na kwamba mazao yao huuza zaidi Zambia) na kwa taarifa yako tu mtu akigundulika kule ni mchawi anapigika na raia mpaka kifo, ni kwa sababu walozi ndio wana waharibia sifa za mji kwa watu kutoka mikoani..

..... Pia nimedate sana na mabinti wa kifipa mwingine nimekaa nae miaka 3 bila tatizo, Tuache imani za kujinga duniani asaiv ime change na inapokea mabadiliko kadri muda unavyoenda watu wanastaarabika...

Nakuunga mkono mkuu
 
Katika nchi hii sijawahi ona watu wakarimu Kama wa sumbawanga... Unajua kwanini nikiwa mgeni mi na wenzangu 99 tulifukuzwa shule kwa siku 21 tukaenda mjini sumbawanga , tukakatibishwa na mama mmoja mwenyekiti tukaishi hapo kwa siku hizo zote .. isitoshe siku ya mwisho akatufutia wazazi feki wa kuripoti nao shuleni
Ni kweli kabisa

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Sumbawanga hakuna kitu kibaya mzee! Nilikua kama wewe naamini mambo yanayosema kwa miaka mingi na niliapa kutokwenda huko hata iweje, Mungu si Athumani kipindi nasoma chuo nikapangiwa field huko miezi 2 niliishi bila shida wala kusikia scandals zozote kuhusu stories tunazotishana humu....
.........Watu wa sumbawanga washakua civilized pia Swax ni mji unaokua na ni mzuri kibiashara za nafaka na kilimo (Maharage, mahindi na Alizeti, sema kulingana na utawala wa Meko asaiv mambo magumu kidogo kutokana na kwamba mazao yao huuza zaidi Zambia) na kwa taarifa yako tu mtu akigundulika kule ni mchawi anapigika na raia mpaka kifo, ni kwa sababu walozi ndio wana waharibia sifa za mji kwa watu kutoka mikoani..

..... Pia nimedate sana na mabinti wa kifipa mwingine nimekaa nae miaka 3 bila tatizo, Tuache imani za kujinga duniani asaiv ime change na inapokea mabadiliko kadri muda unavyoenda watu wanastaarabika...

Sent from my Infinix X5514D using JamiiForums mobile app

Mzigua90 umemsoma huyu?
 
Nakuunga mkono mkuu
Sumbawanga ni mji mzuri sana, Napaelewa na nlkua na mpango wa kuishi huko kabisa, Sema sio mbaya nipo Mbeya now ila Swax huwa naenda mara mosimosi kutembea.... Pako vizuri na wakazi wake wakarimu sana...

......Tuache imani za enzi za makaa ya mawe!
 
Back
Top Bottom