Hivi ni mpuuzi gani aliyewaambia ball boys wa Tanzania kufanya ujinga kama huu wa kurusha mipira miwili miwili uwanjani?

CAF imeshindwa kuendesha mpira mechi ya Yanga na USM Alger yalotikea matukio ya ajabu nikadhani watajifunza ndani ya wiki hio hio yakajirudia mechi ya Wydad Vs Al Ahly tena mbele ya Rais wa CAF
Kwa hiyo leo tulikuwa tunawakomoa CAF? Kuna vitu vya kuiga lakini siyo hilo tulilofanya leo.
 
Kwa hiyo leo tulikuwa tunawakomoa CAF? Kuna vitu vya kuiga lakini siyo hilo tulilofanya leo.
Lazima tukomoane....... Caf wenyewe hawana time we UNADHAN ukitia huruma kuna mtu wa kukuhurumia. Mkuu kuna situations zingine bila kujipambania utaumia sana just imagine ile mechi ya yanga kuna chochote yanga walichokipata zaid ya kugongwa. Wale caf hawana tym na mtu kila mtu ajipambanie.....

Survival for the fittest
 
Vijana wapo sahihi kabisa, wapewe maua yao kwa uzalendo uliotukuka.
 
Hakukuwa na haja ya kufanya hayo. Tujenge timu imara kwanza. Kama Niger tunawafanyia hivyo, zikija timu za maana si ndiyo tutawapiga risasi kabisa live bila chenga.

Haya mambo yanaendana na tamaduni. Tukiyalazimisha wakati siyo "sisi" tunaharibu badala ya kujenga. Tuache ujinga, shortcuts hazijawahi kutusaidia.
 
hahaha eti tff kama FAT
sio FAT tu ni ile FAT ya ndolanga
 
Sahih kbsa mkuu
 
Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).

Ovyo kabisa.
Wabongo nanyi mnapenda kulia lia sana

Mbona yanga walifanyiwa hivo hamkuanzisha uzi kulalamika
 
Sidhani Kama ni mbinu sahihi katika mpira wetu wakati tuna kikosi kibovu Cha timu ya Taifa (taifa stars).

Ovyo kabisa.

We ndo unaona ni ovyo kwasababu ujui mpira ile ni mbinu ya ushindi tatizo sisi wa tz tunajifanya tunaroho nzuri ndo kitu kinachotufanya soka letu haliendelei mchezo wa mpira umejaa figisu, nawapongeza sanaa Ball boys
 
Kwa kikosi gani ulicho nacho Cha kwenda kukuwakilisha Afcon??

Tuliza kijambio [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…