SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kwa hiyo leo tulikuwa tunawakomoa CAF? Kuna vitu vya kuiga lakini siyo hilo tulilofanya leo.CAF imeshindwa kuendesha mpira mechi ya Yanga na USM Alger yalotikea matukio ya ajabu nikadhani watajifunza ndani ya wiki hio hio yakajirudia mechi ya Wydad Vs Al Ahly tena mbele ya Rais wa CAF