Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa ngoja wakae kae hapoNa ndicho serikali yetu inachotakiwa kufanya ili kupunguza fujo huku mitaani!
2.5M- 3MBei ya boda boda unaifahamu lakini?
Ni kweli mkuu lakini hata sisi tunatamani kuwa ofisini kama ninyi mlivyo..Kwani ni uongo mkuu! Wengi wana aspire kuwa watu wa maana katika jamii zao ila hushindwa kuziishi hizo ndoto na matokeo yake hukimbilia kwenye boda boda.
Itapendeza hao boda boda wa bukoba ukiwabadilisha jina kutoka bodaboda alafu uwaite ASEKIDO maana wanajituma na wako vizuri zaidi ya hawa bodaboda wa keko.Ulitokea Uganda...na kwa Tz bodaboda zilianzia Bukoba na baadae kusambaa tz nzima...
Bukoba kuna muda ziliondoa daladala zote za mjini na kubaki usafiri wa umma kuwa bodaboda tu....
Lakini uzuri bodaboda za Bukoba tofauti na maeneo mengine wanafata sheria zote za uendeshaji...bodaboda karibu wote wana helmet mbili, makoti na bodaboda zao zina miamvuli wakati wa mvua...
Ni tofauti na huku dar ambapo watu wanaendesha boda na vinjuga na sandal uku kavaa vest
Mm nataka kumjua aliyeanzisha staili ya uendeshaji boda huku mguu mmoja wenye kobazi umening'inizwa chini, maana hawa vijana mwendo wao concorde ikasome?Habari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki kwa fujo sana. Ni nani haswa alileta huu usafiri na je aliwahi tegemea ungekuja kuwa kero namna hii na ndio kimbilio la failures wote wa maisha?View attachment 2421389
Kama Gambia walichofanya.Kwa hapa bongo unafikiri nini kifanyike kwa kweli maana uchumi unazidi kushuka kwa vijana wengi kukimbilia boda boda!
Tumuulize mwinyi, maana yeye alienda huko akazoa na makunguru akaleta anaweza kumfahamu alioleta na haya mavitu, na akimpata mwambieni zijazo breki ziunganishwe na honi, maana hawa jamaa badala ya kupunguza mwendo wao hua wanapiga honi mpaka uvunguni mwa magariHabari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki kwa fujo sana. Ni nani haswa alileta huu usafiri na je aliwahi tegemea ungekuja kuwa kero namna hii na ndio kimbilio la failures wote wa maisha?View attachment 2421389
Its the easiest way to earn a living, huitaji degree ama certificate yeyote ili kuwa boda boda. Ndio kimbilio la wengi ambao hawana ramani.Haya swali langu lingine ni kwanini vijana wote wanakimbilia kuendesha boda boda je uchumi wa nchi yetu utasonga kweli?
Issue za CHANCE na CHOICE zinatugharimu kulingana na style za maisha na fursa zilizopoIts the easiest way to earn a living, huitaji degree ama certificate yeyote ili kuwa boda boda. Ndio kimbilio la wengi ambao hawana ramani.
Yeah ingekuwa kwa wenzetu kule wao ni rahisi kuajiriwa ukishasoma. Kwetu ajira inataka connections tenaIssue za CHANCE na CHOICE zinatugharimu kulingana na style za maisha na fursa zilizopo
Kama huna mjombaa ako au baba ako huko, kwenda mbele sahauYeah ingekuwa kwa wenzetu kule wao ni rahisi kuajiriwa ukishasoma. Kwetu ajira inataka connections tena
We fara acha kujiona umeyapatia maisha na kuanza kudharau binadamu wenzako choko weweHabari za jioni, usiku, mchana na asubuhi. Nimekuwa nikijuiliza sana ni nani alileta huu usafiri wa boda boda, maana nikikumbuka miaka ya nyuma usafiri tegemezi ulikuwa ni dala dala, teksi na gana gana. Ila ghafla zikaibuka maboda boda ambao wamekua kero sana kila sehemu kwa kuendesha piki piki kwa fujo sana. Ni nani haswa alileta huu usafiri na je aliwahi tegemea ungekuja kuwa kero namna hii na ndio kimbilio la failures wote wa maisha?View attachment 2421389
Kuna maeneo huko itilima nilipanda bodaboda nakwambia nilikimbizwa mpaka machozi yanatoka nikahisi macho yanatoka, nikamwambia nishushe nikampa chake aende sekunde mbili mbele ikamshinda kaingia kwenye mashamba ya pamba! 😂 Ni janga kwa kweli.Tumuulize mwinyi, maana yeye alienda huko akazoa na makunguru akaleta anaweza kumfahamu alioleta na haya mavitu, na akimpata mwambieni zijazo breki ziunganishwe na honi, maana hawa jamaa badala ya kupunguza mwendo wao hua wanapiga honi mpaka uvunguni mwa magari