Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

Naona kumekuwepo na hali ya upotoshaji nchini kuwa hatua za lockdown hazina manufaa! Hili naona kama ni upotoshaji ambao unasababishwa na ukweli kwamba viongozi wengi wameingiza siasa kwenye vita dhidi ya corona na matokeo yake ndo haya ya upotoshaji pamoja na mambo mengine.
Mkuu, nimeishia hapo kuisoma mada yako.

Kiufupi, "Lockdown" ukisikiliza anavyoielezea Magufuli utajua kwamba, huenda hajui maana yake ni nini, au anatoa maelezo tofauti kabisa na maana halisi ya 'lockdown' na kwa nini inatumika sehemu nyingi duniani.

Lakini moja kwa moja, ukiunganisha mambo mengi anayoyaweka Rais kwenye hotuba zake kuhusu COVID-19, moja kwa moja utajua wazi kwamba yote yanafanywa kipotoshaji maksudi kabisa kwa sababu zake mwenyewe.

Kwa mfano: 'Lockdown' haina maana kwamba watu huko vijijini wasiende mashambani kulima. Hata huko kwingine kuliko na 'lockdown' sehemu ambazo hakuna misongamano ya watu shughuli zinaendelea kama kawaida.

Hakuelewa, au anapotosha maksudi maana na manufaa ya 'lockdown'. Kupotosha maksudi kunaungwa mkono na mambo mengine anayoingiza kwenye hotuba zake.

Halafu anajichanganya sana, tena nadhani maksudi akidhani watu anaohutubia hawaelewi.

Hao watalii waliojaza ndege hadi August wanatoka wapi, na hizo ndege zitakazokuja Tanzania ni za wapi? China labda?

Na bado anaendelea na vita:Anadhani kuna watu mahali fulani wapo wanategeshea kutuambukiza waTanzania kwa maksudi mazima na COVID-19!
Hawa watu tuliwakosea kitu gani?
 
Shida kubwa ni corona imegeuzwa kuwa eneo la mapambano ya kisiasa, na wanaoonekana kuzungumza kwa sauti kubwa ni wenye agenda za kisiasa na sio wataalamu. Matokeo yake ni mjadala umekuwa reduced, hakuna kutazama data, hakuna analysis, hakuna nia ya kuangalia Details. Tunalazimishana kuchagua upande kama lockdown inafanya kazi au la kana kwamba ni suala la maoni binafsi.

Wengine kwa kutumia mifano wa nchi zinazoanza kupunguza lockdown, tunakimbilia kutangaza ushindi wa upande wetu. Haijalishi kwamba wanaofungua wamefanya nini kufika hapa, wana data gani, wamejipanga vipi, wanaenda kufungua nchi zao wakiwa wana monitor nini, mifumo yao ya afya ina uwezo gani, na wamejifunza nini toka waanze kupambana. No depth, no interest in detail, zero intellect. Kama watoto wadogo
 
Hivi mnavyofananisha Ohio na Mikoa Masikini ya Tanzania huwa mnafikilia kwa kutumia Nini?
Tanzania hii kwa Mfano Dar es salaam, zaidi ya 50% Wakazi wake ni wale wanaotoka asubuhi kubaingiza jioni arudi na chochote kwa Familia, ukimfungia kwa week 3 asitoke nje atakula nini na Watoto?

Tuache Ubinafsi, mimi siipendi CCM, kuna baadhi ya mambo sikubaliani na Mh. Rais ila katika hili nam support 1,000%

Hatutaki Lockdown, but stay safe, Vaa PPE na Mwisho wa siku lazima maisha yaende!
 
Kwa hiyo unashauri na Tanzania tuweke LOCKDOWN?
Lockdown za kimkakati, hizi blanket statements zenu ni za kisiasa. Kwasababu hadi usawa huu, wananchi wanapotoshwa maana halisi na manufaa yake.
 
Tuambie Lock down imefanya kazi wap?

Sent using Jamii Forums mobile app
No disrespect. Lockdown imwasaidia italia kushusha idadi ya maambukizi kwa kiasi kikubwa.
Kwa ulaya mfano mzuri ni germany. Nchi ya kwanza kabisa europe kupunguza maambukizi kwa asilia kubwa kiasi kwamba ilifika sehem idadi ya maambukizi ikwa ndogo na ikawa haiongezeki. Hawa walitumia lockdown.
Hapa africa eritrea.. lesotho. Hawana maambukizi kabisa.. why lockdown.
Gambia ni iko under lockdown.. leo hii ina maambukizi 23 tu..
Comoros wana maambukizi 11 mpaka sasa.

Ili ujue kuwa lockdown ina slow down maambukizi.

Juzi juzi Russia walitoa lockdown watu wakarudi kufanya kazi kama kawaida. Ndani ya wiki moja tu wamekuwa kinara wa maambukizi ulaya.
Imeipita hata britain.

Kila mbinu ina advantage na disadvantages zake.
Lockdown haiwez kutumika kwa.nchi zote.
Baadhi ya nchi zinajiweza.. zingine haziwezi.. hapa kwetu hatuwez kuhumili hiyo kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana halisi na kinachoendelea kwenye Nchi za ki Africa zilizoweka Lockdown?

Ni kwamba watu wamezuiwa kwenda kwenye Shughuri zao za kila siku.... Mfano kama South Africa, ukitoka nje unakutana na Wanajeshi, watachokufanyia utarudi mbio nyumbani kwako?

Kwa Mazingira yetu na umasikini wetu unadhani Lockdown ni uamuzi sahihi?
 
Kuna mifano pia ya nchi ambazo hazijafanya ,,lockdown” na ziko vizuri na kufanikiwa zaidi klk zile zilizofanya, mfano Taiwan ingawaje ipo karibu kabisa na China na ni moja kati ya nchi za kwanza kabisa kushambuliwa lkn haikufanya ,,lockdown” na sasa hivi Taiwan ni success story kwenye kupambana na virusi vya corona, hata Sweden haikufanya lockdown na bado wametoka vizuri klk nchi zilizofanya lockdown kama Italia au Uingereza, isitoshe swala hapa siyo kwamba lockdown inasaidia au la, bali swala ni kwamba nchi nyingi hata zilizoendelea haziwezi kumudu lockdown, na watu wengi zaidi watakufa kutokana na madhara ya lockdown kuliko corona, wengi wamepoteza kazi, wamepoteza Health insurance, hata Afrika kwetu wanaokufa na njaa ni wengi kuliko wa corona, hiyo ndiyo argument, kwamba lockdown inaumiza zaidi kuliko kuponya, ...
True 100%.
 
Mkuu, Trump na jiwe wanafana kwa kiasi kikubwa sana pale inapokuja kwenye matamanio na hata maamuzi na propaganda.

Kwa Maghufuli, yeye anajali vitu zaidi, hivyo uchumi kwake labda ni muhimu zaidi kuliko maisha ya wananchi.

Kwa Trump naye kwa upande mmoja ni wasiwasi wa kupoteza biashara zake kwasababu hoteli zake zinategemea movements kama tu ambavyo rais wetu anategemea movements za wananchi au pia kusema kwamba watakufa njaa! As if wameambiwa lockdowns ama hata partial lockdowns ni za milele! Yote hayo yanahitaji mipango tu! Kwani Uganda na Rwanda wanakufa njaa?

Pia kwa upande wa hao wanzungu wazee vibabu unavyoleta video zao hapa kujenga hoja,vyenyewe haviko msitari wa mbele kwenye mapambano haya. Hata lockdown ikiondolewa, wenyewe wanaishi tu kama jiwe wetu. Wanatumikiwa, na wale wanaowatumikia ndo wako msitari wa mbele kwenye maambukizi pale wanapofungua bila mpangilio.

Nadhani pia hukusikiliza hotuba ya Obama hana kuhusu disproportional on dealing with this pandemic. Kwamba wanakufa sana wake minorities ambao ni kama watumishi kulinganisha na hao wanaotaka kufunguliwe haraka haraka.
 
Mmekosa jipya

Kama kujifungia Mkajifungie wenyewe
Hujaelewa hoja! Haya ni mambo yanayohitaji mipangilio na mikakati ya kiuongozi. Sidhani kama blah blah kama hizi zinaleta unafuu.
 
Kuna mifano pia ya nchi ambazo hazijafanya ,,lockdown” na ziko vizuri na kufanikiwa zaidi klk zile zilizofanya, mfano Taiwan ingawaje ipo karibu kabisa na China na ni moja kati ya nchi za kwanza kabisa kushambuliwa lkn haikufanya ,,lockdown” na sasa hivi Taiwan ni success story kwenye kupambana na virusi vya corona, hata Sweden haikufanya lockdown na bado wametoka vizuri klk nchi zilizofanya lockdown kama Italia au Uingereza, isitoshe swala hapa siyo kwamba lockdown inasaidia au la, bali swala ni kwamba nchi nyingi hata zilizoendelea haziwezi kumudu lockdown, na watu wengi zaidi watakufa kutokana na madhara ya lockdown kuliko corona, wengi wamepoteza kazi, wamepoteza Health insurance, hata Afrika kwetu wanaokufa na njaa ni wengi kuliko wa corona, hiyo ndiyo argument, kwamba lockdown inaumiza zaidi kuliko kuponya, ...
Hawa watu kwenye hizo nchi ni wastaarabu na mfumo wao wa kistaarabu umewawezesha kufanya hivyo. Mfano tu Sweden hakukuwa na lockdown, lakini wananchi walifuata maelekezo na wanaendelea kuyafuata. Pia data zao ziko wazi for criticism ama kujifunza! Sasa unafananisha Taiwan, Sweden vs Tanzania?
 
Nakubaliana na ww kwenye paragraph ya mwisho kuwa nchi nyingi zinazoendelea haziwezi kumudu lockdown. That is totaly truth.

Lakin mahali ambapo sikubalian na ww ni suala la sweden.. incase hufaham wana cases 30,143 na vifo 3679... recovered 4971.

Did they did better nope. Na kumbuka hii ni nchi yenye good health system kuliko tanzania.
If you asked me, sweden is not a good example.

Take a look at russia wametoa lockdown juzi juzi hapa. Look what happened. Numbers of infection na death zimepanda kwa kasi ya ajab in just one week tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana halisi na kinachoendelea kwenye Nchi za ki Africa zilizoweka Lockdown?

Ni kwamba watu wamezuiwa kwenda kwenye Shughuri zao za kila siku.... Mfano kama South Africa, ukitoka nje unakutana na Wanajeshi, watachokufanyia utarudi mbio nyumbani kwako?

Kwa Mazingira yetu na umasikini wetu unadhani Lockdown ni uamuzi sahihi?
Mwongo.
Uganda, Rwanda wameweka lockdown, kwa nini unakimbilia huko Afrika Kusini na hata bila kueleza hiyo lochdown ilikusudiwa ifanye nini?

Mwongo, hata huko Afrika Kusini watu hawakuzuiwa kwenda mashambani kulima!

Lakini la mhimu zaidi: Unaelewa maana ya kuweka 'lockdown'?
 
Unadhani kwa nini Rwanda inagawa Chakula kwa Raia wake kipindi hiki cha Lockdown?
 
Hawa watu kwenye hizo nchi ni wastaarabu na mfumo wao wa kistaarabu umewawezesha kufanya hivyo. Mfano tu Sweden hakukuwa na lockdown, lakini wananchi walifuata maelekezo na wanaendelea kuyafuata. Pia data zao ziko wazi for criticism ama kujifunza! Sasa unafananisha Taiwan, Sweden vs Tanzania?

Hilo swali la kufananisha ulijibu wewe kwa maana ndiye unayelilia lockdown kama USA, mimi nimekupa tu mifano kwa maana wewe umekuja na mifano ya Ohio, USA kuhalalisha lockdown kwetu, isitoshe lockdown inahitaji nidhamu zaidi ili ifanikiwe kuliko kutokuwa nayo, ...
 
Nakubaliana na ww kwenye paragraph ya mwisho kuwa nchi nyingi zinazoendelea haziwezi kumudu lockdown. That is totaly truth.
Lakin mahali ambapo sikubalian na ww ni suala la sweden.. incase hufaham wana cases 30,143 na vifo 3679... recovered 4971.
Did they did better nope. Na kumbuka hii ni nchi yenye good health system kuliko tanzania.
If you asked me, sweden is not a good example.

Take a look at russia wametoa lockdown juzi juzi hapa. Look what happened. Numbers of infection na death zimepanda kwa kasi ya ajab in just one week tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba chanzo cha habari yako kuhusu Sweden kwamba wana hiyo namba ya vifo kutokana na korona, ...
 
Mwongo.
Uganda, Rwanda wameweka lockdown, kwa nini unakimbilia huko Afrika Kusini na hata bila kueleza hiyo lochdown ilikusudiwa ifanye nini?

Mwongo, hata huko Afrika Kusini watu hawakuzuiwa kwenda mashambani kulima!

Lakini la mhimu zaidi: Unaelewa maana ya kuweka 'lockdown'?
Screenshot_20200517-221554.png

I hope Maandishi hayo ni makubwa kwako kusoma, Soma hiyo habari kuhusu Rwanda, then uje unambie kama Umeelewa.
 
Back
Top Bottom