Msomalih
Member
- Apr 9, 2023
- 70
- 122
Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂
Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?
Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.🙏💪🇹🇿
Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?
Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.🙏💪🇹🇿