Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Daah kwanini tena kaka mkubwa?
Acha tu mkuuu kuna watu wanadanga huku mkuu

Wanaanikana huku huku tena live live

Duuh inasikitisha sana mkuuuu hasa hawa wanawake ni full shida

Nimkuwa mtumiaji since 2021 nimesoma thread 938 lakini uchafu niliokutana nao huko acha tu

Nina data za watu takribani 57 na siri zao ninazo sijui kwann watu hawapendi kumalizana pm 😔🤢🤢🤮
 
Kuna ule uzi wa kula tunda kimasihara mkuu, uchafu wote upo pale aisee 🙄
 
Back
Top Bottom