Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Wengi wsmebadili acc ..,lakini Ni wakongwe hasa ...

Toka jambo.na wao wakiwa wanafunzi wadogo!
 
Le mutuz from NY city sauti ya umeme na mkewe toka knaitwa jambo forum

Kweli Field Marshal ES Mzee wa Sauti ya Umeme I'm Humbled you know Ha ha ha nipo down town "Manhahen", "siaro".

Kichuguu , Rais wa Wabeba Box Nyani.

Makonki ni wale 2006-2008 ,hawa wa kuanzia 2009 kuendelea waliletwa na wimbi....Mimi nilikuwa napitia Jambo Forums ila sijajiunga ila websites zake nilizisave 2008 post za Bubu Ataka Kusema(BAK) ,Mzee Mwanakijiji ,Yo Yo ,Mwafrika(Kitila Mkumbo)
 
Cheusimangara, balantanda, kibunango na wengine,Game
Mzee mwanakijiji ndio konki zaidi.
Zilikua 'inapigwa mada humu mpk basi
 
Back
Top Bottom