Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Nimekuelewa vizuri sana mkuu 💪🔥
 
Sasa technically si atakuwa ni founder ambaye bado yupo hai ? Pia fahamu kwamba wadau wengi ni wame-metarmorphosize IDs zao za kitambo kwahio wale wa kipindi hiki huenda ndio hawa wa kipindi hiki under different alias....
 
Hata Mimi Si Haba
May 2009.....mpaka Leo
14 yrs...
Kweli nimezeeka
 
Huyo mwamba alikuepo mitandaoni kitambo,karudi bongo kaaga hapahapa.
Kaenda kufa tu huko.
Rip
Namkumbuka toka Enzi za audi black left hand alitoka nayo mamtoni..miaka ilee....sijui nini kilimrudisha bongo daah(R.I.P)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…