Daah hapa kulala ndo hakuna dadaangu nataka nipige daku then Fajr then maandalizi nikasome [emoji23][emoji23]
Acha tu mkuuu kuna watu wanadanga huku mkuu
Wanaanikana huku huku tena live live
Duuh inasikitisha sana mkuuuu hasa hawa wanawake ni full shida
Nimkuwa mtumiaji since 2021 nimesoma thread 938 lakini uchafu niliokutana nao huko acha tu
Nina data za watu takribani 57 na siri zao ninazo sijui kwann watu hawapendi kumalizana pm [emoji17][emoji1785][emoji1785][emoji2961]
Heshima yako mkongwe Dr LizzyKwani kuna award???
Bimdashi kumbe unapata muda wa kutupia tupia posts za hapa na pale.πππNimebadili account niliyoanza nayo.
38Kwani wewe una Miaka mingapi?
kumbe bado kijana wewe sawa na mwanangu wa kiume kiumri. Nilifikiri wewe ni Mzee kama Sisi wenye umri wa miaka 60.
Unataka mwanamke mkongwe?Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.ππͺπΉπΏ
Nimejoin hapa 2008 March Hadi Sasa Nina umri wa kutosha mtoto kubalehe kabisa na nimekua active member miaka yote 15.Daah nimemcheki chief mkwawa kweli ni legend bhn ingependeza atie baraka zake kwenye huu uzi ππͺπ