Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

πŸ˜†πŸ˜† Jf ya sikuizi cyo Kama ya 2013 huko,saivi vichaa ndio wamejaa humu.
 
My First JF ID nilikuwa nayo 2008, nikalambwa Life ban 2010.

Nikatengeneza nyingine 2010, nikalambwa Life ban 2015 kwa purukushani za kampeni za Lowassa.

Nikapumzika kutumia JF, nikawa mgeni tu. Nikaja kuitengeneza hii hapo majuzi. Sijui nayo nitalimwa lini..

Unaweza kuwa mpya lakini Mkongwe.
 
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ™
 
Siku Ya Kwanza Kuchangia Jf 2012 Bro @pascally Mayalla Alinijibu "Mind Set" Nilijiondoa Hapo Hapo Jf Baadaye Nikaja Kugundua Jf Haihitaj Uwe Na Majibu Unayohitaj Wewe.

Leo Nainjoy Jf
Sema kuna watu wanajibu ovyo kinoma πŸ˜‚
 
YUKO WAPI@Woman of substance?,
Members wengi wamekufa kimya kimya, wengi wa watu maarufu walitambulika kwa majina ya kalamu, japo in real life tulifahamiana na wengineo hata kujadiliana mambo ya JF nje ya JF bila kujuana nani ni nani, Wengi hupita pita na kusoma mada bila kuchangia.
 
Tupo Mkuu
 
Hata mimi nimechelewa sana kujiunga JF🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…