Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Kafiri ajawahi kumpenda muhammad na uisilawam na waisilamu kwa ujumla
Huyu mtu wa ajabu Sana, alikoibukia hakujulikani, hajatabiriwa na kitabu chochote kilichotangulia, amekuja amevuruga yaliyoamdikwa akachanganya na yake, kabadilisha historia ya Ibrahim na wanawe wawili ile nafasi ya isaka kaibadilisha akaweka Ismail, kamwita mjusi KAFIRI sijui alimkosea nini, kamwita nguruwe kiumbe wa Mungu haramu sijui walikosana wapi
 
Unatuletea ujinga wako hapa wewe ndugu zako wa miaka 300 iliopita unawafahamu? huyo ulio muoa unajuaje kama sio mtoto wa shangazi yako wa miaka 400 iliopita?
Endeleeni kuoana ndugu hamna shida mkuu,sababu naona unatokwa mapovu hatari
 

Mwisho utaomba andiko linalokataza kufanya ngono na mbwa maana haijaandikwa,,ndio akili za kiislam hizo[emoji16][emoji16].hakunaga kufikiri huko ni mwendo wa takbir tu..

Wewe ni muongo,kiswahili kuwa kinafanana na kiarabu hakuifanyi bible kutumia 3/4 ya maneno yake kutoka ktk Quran.angalia majina tu ya wahusika utagundua ni ya kiarameik sio kiarabu chako ndio sababu watu kama akina Yohana,yakobo nk hawajaitwa kiarabu humo.usijedhani unajadili na kiazi mwenzako hapa.

Lakini pamoja na hayo sijajua hoja yako ktk hili ilikuwa kutaka kusema bible imeandika ilichoandika Quran kabla??inabidi pia uthibitishe imekuja baadae kabla ya Quran.

NM siichukii Quran,naidharau.
 
Acha ujinga wewe binadamu asili yao 1 tu hata huyo bibi yako na babu yako si ajabu walioana wa baba mkubwa na mdogo miaka 100 alio pita
Basi kamkande dada yako kama alivyofanya huyo babu yako.
 
Wewe huna akili,yaani undugu unaushikiria kwa mgao wa mashamba na mbuzi za marehemu!!!!
 
Hao wamekosa adabu tu hakuna la ziada la kuwaambia.
 
Kuna wengine wakioana ndugu kinachofuata ni kuzaa Watoto wenye matatizo.
 
Acha ujinga wewe watu wote asili yao ni 1 tu ndio maana tukaitwa wana waadamu,mfano wewe ni muha shangazi yako kaolewa mtwala kwa makonde kazaa watoto je hao watoto ni ndugu zako wa damu?
Hata mbwa ni ndugu pia at one point. Ila utimamu wetu umetupa ufahamu wa kiwango cha ukaribu au umbali wa unasaba tunaoweza kujamiiana nao.
 
Aaamiin
 
Watoto wa Adam walioona ndugu pia , hii imekaaje ?
Wakati huo hapa kuwawepo na options. Maana watu walikuwa ni hao hao wa familia moja. Ili mu - multiply lazima muone ndugu. Baadaye watu walipo ongezeko ikawa ni haramu mtu kumuoa jamaa yake.
 
Wakati huo hapa kuwawepo na options. Maana watu walikuwa ni hao hao wa familia moja. Ili mu - multiply lazima muone ndugu. Baadaye watu walipo ongezeko ikawa ni haramu mtu kumuoa jamaa yake.


Una andiko toka kwenye bible?
 
Kama tatizo halipo hapo basi hakuna tatizo hata ukiamua kumkanda dada yako.si tunatafuta tatizo mkuu[emoji2][emoji2].

Kama limekataza kumvua chupi mke wa jama yako au rafiki yako,unatafuta palipokatazwa mtoto wa baba mkubwa!!![emoji2]
Pole sana mkuu.Esau alioa mtoto wa baba yake mkubwa Ishmael,lakini wewe unaona ajabu!

Mwanzo 28:8-9
8 Esau akaona ya kuwa binti za Kanaani hawakumpendeza Isaka, baba yake.
9 Basi Esau akaenda kwa Ishmaeli akamtwaa Mahalathi, binti Ishmaeli mwana wa Ibrahimu, ndugu wa Nebayothi, kuwa mkewe pamoja na wakeze aliokuwa nao.
 
Wanasahau kama watoto wa nabii adamu walioana wao kwa wao.
 
Esau sio nabii wala mtume.

Ktk biblia sio kila unachokiona ni maagizo unatakiwa ufate au kuiga kama mfano,kuna historia za watu ambazo ni za hovyo pia.

Hiyo ndio tofauti ya ukristo na uislam kaka,sisi sio kumbi kumbi.
 
Esau sio nabii wala mtume.

Ktk biblia sio kila unachokiona ni maagizo unatakiwa ufate au kuiga kama mfano,kuna historia za watu ambazo ni za hovyo pia.

Hiyo ndio tofauti ya ukristo na uislam kaka,sisi sio kumbi kumbi.
Mleta mada hakuna sehemu ameweka neno "Nabii",wewe umelitoa wapi?.
UKRISTO NA NDOA NI KITU KISICHOKUWEPO!Hakuna kiongozi yoyote ndani ya agano jimpya ambalo ndoyo mzizi wa ukristo aliyeoa!.Sasa sheria na kanuni za ndoa wewe mkristo utazipatia wapi?.
 
Mleta mada hakuna sehemu ameweka neno "Nabii",wewe umelitoa wapi?.
UKRISTO NA NDOA NI KITU KISICHOKUWEPO!Hakuna kiongozi yoyote ndani ya agano jimpya ambalo ndoyo mzizi wa ukristo aliyeoa!.Sasa sheria na kanuni za ndoa wewe mkristo utazipatia wapi?.
UkAsome mathayo 19:8-12 unaona kabisa ndoa zilikuwepo,na hasa 12 unaona kabisa kwamba swala la kutooa hata kwa hawa unaoita mizizi ya ukristo liliposimamia.ni wakfu maalumu wa sadaka kiutumishi.

Hiyo ni sawa na anayeamua kufunga asile siku mbili au 3 ili chakula husika akielekeze sehemu maalumu.
 
Kwa hiyo unakubali kuwa katika ukristo hakuna mambo ya kuoana bali yapo kwa wayahudi na uyahudi?Yaani agano la kale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…