Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Wengine kwa kufanya hivyo hutaka kulinda kitu flani ndani ya famili mathalani urithi wa mali, uchawi au siri flani. Pia waweza kuwa mkakati wa kulinda nasaba flani.
 
Ok, sasa na hao Zanzibar ambao wengi ni waislamu, chimbuko la mila na dini ni waarabu, hivyo wakifanya hiyo sioni ajabu.....
 
Na kwa kuongezea avogadro

Mtume Muddy alimuoa Bibi Aisha bint Abi Bakr akiwa na umri wa miaka sita au saba hivi , na ndoa yao ilifungwa, lakini hakuwa na uhusiano wa kimwili naye wakati huo. Kwa mujibu wa hadithi nyingine, uhusiano wa kimwili kati ya Mtume Muhammad (S.A.W) na Bibi Aisha ulianza baada ya kufikisha umri wa miaka kumi na miwili.

Kama wanavyofanya wamasai tu unaoa Mimba then mtoto akizaliwa Unaoa unatunziwa mpaka atakapofika miaka Ya kuingizwa kwenye Boma unachukua
 
Uislamu hauhusini n mila za kiarabu
Allah said in the Quran.

Islam is described in this verse as 'deen' which means 'a complete way of life', and not just a religion. No part of life is outside the realm of Islam, Islam covers all the aspect of life from cradle to grave.

 
Rafiki, nimenukuu quran, sasa wewe unapinga nini?
Umenukuu sehemu gani sijaiona na mimi naweza kunukuu mahali kulipopinga maana halo sijaona sura yoyote katika quran wala aya yoyote uliotoa ila maelezo
 
Umenukuu sehemu gani sijaiona na mimi naweza kunukuu mahali kulipopinga maana halo sijaona sura yoyote katika quran wala aya yoyote uliotoa ila maelezo
 
Wewe kafiri, unajifanya unatetea mila za asili na kuwashutumu waarabu, kisha ulivyo huna akili katika post za mbele ukawa unapinga polygamy, ndoa "za utotoni" na "kukandamiza" wanawake na kumshutumu Mtume wetu Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kwa hayo. Katika hizo mila zenu za asili kabla ya muarabu mlikuwa hakuna ndoa za "utotoni"? Wewe bibi yako aliolewa na miaka 30? Ndoa za wake wengi si zipo katika hizo mila zenu za asili tena wake wasio na idadi. Na katika hizo mila za asili wanawake wenu walipewa haki sawa na wanaume?


Uislam umeweka utaratibu mzuri zaidi katika hayo kuliko hizo "mila za asili". Na bado haujatoka katika maumbile ya asili.
 
kwanz kabisa mkuu nimepitia hiyo makala unayosema ni nukuu ya Quran sio Quran bali wamenukuu baadhi ya Aya..
Suratul Maida (Surah ya Meza) aya ya 5....
sura hii na aya hio inaonyesha na kufundisha Aina za vyakula vipasavyo kuliwa na akasisitiza kwamba jinsi ya kula (kwa kuwa kila kitu kwenye uislam ni Ibada)
uko sahihi kusema Deen ni maisha ya kila siku na Ndiyo maisha hayo yaliyofundishwa kwenye quran na sio mila Zilizokuwepo..

Na hiyo Makala yako haijaonyesha Usawa wa mila za Kiarabu na Mila za kiislamu kwani ni vitu viwili tofauti...
nakusihi jaribu kufatilia utaelewa..

Uislamu umekwisha fundisha kuhusu Nani anapaswa kuolewa na kuoa na nani hapaswi kasome Surah An-Nisaa (Surah ya wanawake ) yote utapata kujua kuhusu Ndoa na vinavyoruhusiwa na Talaka pia ....

kasome hiyo Suratul Maida ujue ni vipi unapaswa kuweka mezani kwako kama chakula
 
Akikuonyesha najiua kabisaa
 
Ata biblia pia inaruhusu ndoa za udogoni na sheria pia inaruhusu ndoa za udogoni...biblia pia inaruhusu kufunika kichwa...biblia pia inaruhusu ndoa za wake wengi...tena bora quran iliyoweka condition na ni ngumu kama huwez kuzifuata kuoa wake wengi
 
Watapita kama hawaoioni.
 
Ni muafrika mwenyewe ndie aliyekubali kuuzwa utumwani tusiwasingizie waarabu
 
HIZI HAPA FAIDA ZA KUOWA AU KUOLEWA NA NDUGU

1) usarama wa maisha kwa mke au mume ni 100%

2)SI rahisi kugombana au kuwaziana mabaya kwani nyinyi ni damu moja, na mmekuwa pamoja kwahiyo mna Juana vema

kwamba mwenzangu akichukia anakuaje na ili atulie nifanyeje ?? Kipi anapenda na kipi hapendi mnajuana kwa hiyo sinrahisi kugombana
Wa Apo ku

3 Nima penzi ya kweli. Si mapenzi ya pesa,Wala mapenzi ya kufaidika kitu frani kutoka kwa mwenzio nimapenzi ya kukuwa nayo Toka utoto mnakula wote,mnacheza wote, nk

Kwahiyo Kama zinge kuwepo HIZI ndoa kusingekuwa na kitu...

kuuwana kisa pesa, kufungana,kisa malezi ya family,kusaritiana hovyo,kunyanya sana kijinsia,

namengine mengi yanayo tokea kwenye ndoa Kama Mambo ya kupeana taraka hivi yasinge kuwepo

Kwani nimapenzi ya yangu utoto

Mpaka mnapo kuwa watu wazima ndipo mnapo kuja kuambiwa nyinyi ni NDUGU hampaswi kuwa na mahusiano wara kuowana

Hapo HUWA ndiyo mwanzo wa kudondokea kwa akina mwajuma na Aisha wale watoto wa mjini bira kusahau akina chibu,na akina mateoso

Pamoja na hayo yote Ina semekana kuna madhara ya ki genetics kuowana NDUGU kwa NDUGU

Kama kuzaa matoto yenye maumbile ya kike Kama hipsi kubwa, misambwanda mikubwa,sura nzuri
lakini ni madume

au kuzaa matoto yenye tabia za kiume Kama Hawa tunao waita Tom boys lakini nimajike

inaseme Kama lakini
 
Kiarabu na Mila za kiislamu
waarabu ni waislam 99.99999%. Na Dini ya kiislamu iko very much internalised...... huwezi kutenganisha uislamu na uarabu!

Allah said in the Quran.​

I have perfected your religion for you, and have completed My blessing upon you, and chosen Islam as Deen (religion and a way of life) for you. 5:3

Islam is described in this verse as ‘deen’ which means ‘a complete way of life’, and not just a religion. No part of life is outside the realm of Islam, Islam covers all the aspect of life from cradle to grave.
 
Mila za kiafrika unazijua nenda hadi Leo wapogoro wanaoana ndugu,mtu anazaa hadi na mama yake mzazi, Kaskazini baba anazaa na binti yake unataka kusema ushenzi gani.
Hakuna dini inayoruhusu ndugu wa damu kuoana.
Ukoo mmoja wanaweza lakini lazima wanaangalia undugu wa mbali
 
Faida za kuoana ndugu
1.Mali haitawanyiki
2.kukwepa magonjwa ya kiroho mfano laana na mikosi toka koo zingine
3.Kuoana na Mtu unaemjua Mila na Tabia zinazofanana
4.upunguza migogoro na uhasama sababu wote ni ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…