Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Huyu mtu ingekuwa ameibuka Karne hii angekuwa jela.

❗ Ndoa za watoto wadogo alioa katoto ambalo kwa bongo Ukifanya hivyo ni ubakaji miaka 30 jela

❗ Hizi ndoa za maharimu ( close related blood) nayo ingekuwa jela

❗ Polygamy ( kosa la kutoa wake wengi nayo ni jela)

❗ Kugandamiza haki za wanawake, kuwafunika manguo meusi gubigubi, kuwakataza kushiriki kwenye siasa na maamuzi nayo ilikuwa jela
Haya yanawahusu babu zako pia ila kwa ule ukafiri wako hauoni hili. Tofauti ni kwamba Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alikuja na muongozo bora kabisa na babu zako hawakuwa nao.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.

Tunajivunia maadili yetu wala hatuwezi kutiwa unyonge na watu ambao hawawezi hata kujibu swali rahisi "kuna jinsia ngapi". Watu washenzi waovu makhabithi wenye matatizo ya akili ambao wanabadili jinsia zao hawawezi kutuwekea standards za maadili kisha wakatulazimishia na kutufanya tuone maadili yetu ambayo ni sahihi kuwa sio chochote sio lolote. Najua wewe umeathiriwa na hao hivyo chunga usije ukaishia kusema babu yako angefungwa jela kwa sababu hakutaka hata kuusikia ushoga kwa sababu sasa hivi homophobia ni kosa kwa mujibu wa bwana zako walioku brainwash.
 
waarabu ni waislam 99.99999%. Na Dini ya kiislamu iko very much internalised...... huwezi kutenganisha uislamu na uarabu!

Allah said in the Quran.​

I have perfected your religion for you, and have completed My blessing upon you, and chosen Islam as Deen (religion and a way of life) for you. 5:3

Islam is described in this verse as ‘deen’ which means ‘a complete way of life’, and not just a religion. No part of life is outside the realm of Islam, Islam covers all the aspect of life from cradle to grave.
Mkuu kwanza unataarifa Potofu kuhusu waarabu Waarabu wana 80% ndo waislamu so ngoja nijikite ....
Na uko sawa kabisa the ISLAM is perfected yes in the Quran but islam doesnt depend on what yu're doing againsta it...

Kuna kitu maybe hujaelwa hivi kwa mfano tulipata taarifa kuwa Papa karuhusu Ndoa ya jinsia moja...
Mbali na hilo Kuna mapadre ambao hubaka mpaka watoto wadogo achilia mbali wachungaji wanaonajisi waumini wao...na kuna waumini walio wachawi,Waumini walio Wazinzi na waumini walio na machafu sana na wote wengi wako kwenye ukristo..

Unatka kuniaminisha kwamba ukristo unafundisha haya yote kama ndo ustaarabu wake?
Kama ndiyo basi uko sawa kabisa..
Kama sio ndivyo ilivyo hata katika uislm...
Uislamu sio uarabu japo kuna matumizi ya lugha ya kiarabu..
Kama ilivyo ukristo sio uyahudi japo Mungu anaitwa Yehova na elohimu ambacho ni kiyahudii
 
Mkuu naona umekuja na Kuleta mada ya DINI ambayo mleta mada hakuleta na hakusema hivyo...
Kuhusu Zanzibar ni kweli wanaonana mtoto wa Ami na ami yake..Ambaye ni sawa na kusema mtoto wa baba mkubwa au bamdogo ni kitu cha kawaida katika uarabu na uzanzibar tumeishi huko tunaona na tunajua...

Usichanganye uarabu na uislamu au uzanzibar na uislma ni vitu tifauti
Nadhani hujamuelewa mwenzio ni kama alikuwa anaonesha kuwa binti wa ami ama binti wa mjomba au shangazi haijakatazwa kumuoa katika Uislam.

Shari'ah (Qur'an na Sunnah) ishabainisha ni kina nani ambao ni haramu kuwaoa. Au ulikuwa unapinga nini?
 
Nadhani hujamuelewa mwenzio ni kama alikuwa anaonesha kuwa binti wa ami ama binti wa mjomba au shangazi haijakatazwa kumuoa katika Uislam.

Shari'ah (Qur'an na Sunnah) ishabainisha ni kina nani ambao ni haramu kuwaoa. Au ulikuwa unapinga nini? Sijakuelewa.
Mkuu Quran iko wazi kabisa

(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"

mkuu kumuoa binyti wa ami ni haramu na haijizi hata kidogo kwa mujibu wa Quran ila yeye ananiambia kuhusu mila za waarabu...
nikamjibu Uarabu sio uislamu kwa sababu quran imekataza kwahiyo anayefanya anafanya kwa His/her own risk...
uislam sio mila za Uarabuni japl imeandikwa kwa lugha ya kiarabu
 
Haya yanawahusu babu zako pia ila kwa ule ukafiri wako hauoni hili. Tofauti ni kwamba Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alikuja na muongozo bora kabisa na babu zako hawakuwa nao.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam na Sunnah.

Tunajivunia maadili yetu wala hatuwezi kutiwa unyonge na watu ambao hawawezi hata kujibu swali rahisi "kuna jinsia ngapi". Watu washenzi waovu makhabithi wenye matatizo ya akili ambao wanabadili jinsia zao hawawezi kutuwekea standards za maadili kisha wakatulazimishia na kutufanya tuone maadili yetu ambayo ni sahihi kuwa sio chochote sio lolote. Najua wewe umeathiriwa na hao hivyo chunga usije ukaishia kusema babu yako angefungwa jela kwa sababu hakutaka hata kuusikia ushoga kwa sababu sasa hivi homophobia ni kosa kwa mujibu wa bwana zako walioku brainwash.
🗑️
 
Mila za kiafrika unazijua nenda hadi Leo wapogoro wanaoana ndugu,mtu anazaa hadi na mama yake mzazi, Kaskazini baba anazaa na binti yake unataka kusema ushenzi gani.
🙄

Nimeshuhudia mtu na mdogo wake wamezaa na mwanamke mmoja
Nimeshuhudia mtu kaoa dada wa shemeji yake kwa maana ni kama wamebadilishana
Nimeshuhudia mtoto wa mtu kaoa walikoolewa shangazi zake wa damu
Nimeshuhudia mtu alizaa na mtu na mama mdogo wake
 
Mkuu Quran iko wazi kabisa

(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"

mkuu kumuoa binyti wa ami ni haramu na haijizi hata kidogo kwa mujibu wa Quran ila yeye ananiambia kuhusu mila za waarabu...
nikamjibu Uarabu sio uislamu kwa sababu quran imekataza kwahiyo anayefanya anafanya kwa His/her own risk...
uislam sio mila za Uarabuni japl imeandikwa kwa lugha ya kiarabu
Wapi imeharamishwa kumuoa binti wa ami?
 
Afu mkuu unanikosea ujue.

Mahusiano ya kimapenzi baina ya ndugu yanadidimizaje uchumi wa nchi.

Haya nyie mahusiano yenu yasiyo ya ndugu mna mchango upi katika taifa. Mmeleta hata katiba mpya.
kwasababu hulipiii!
 
Hata hizo Mila za mababu pia ni mawazo ya kibinadamu tu.
Sote tumeumbwa kutokana na Adamu mtu mmoja tu, waarabu wazungu na waafrika sote asili yetu ni Moja. Kujadili hoja kwa kuleta fikra za kibaguzi kwamba sisi ni waafrika na wale kule ni wazungu na wale ni na wale wengine ni waarabu hiyo ni alama ya kutojitambua. Mimi ni mwanadamu amabaye nimeumbwa na Allaah aliyenichagulia dini ya kiislamu. Habari kwamba uislamu umeletwa na waarabu siyo hoja ya msingi kwakuwa ninachoamini ni kwamba hao waarabu siyo walioanzisha dini ya kiislamu ila walipata bahati tu ya uislamu kuanzia kwao.
Nani kakuambia naamini biblia? Uliza mababu zako kama wapo kabla ya ujio wa wakoloni huo upumbavu ulikuwepo kwenye ukoo wenu? Maana Sasa Kuna mitanzania imekuwaitumwa ya mila, tamaduni, Mavazi, vyakula na lugha za waarabu na wazungu kwa visingizio vya dini ambayo kimsingi ni Mila za hao mabwenyenye
 
Wapi? Hivi unajua kuwa haifai kuizungumza Dini ya Allah bila ya Elimu?
Yeah najua vizuri sana We uliona wapi imehalalishwa...
Quran ikiacha kutaja kitu haikihalalishi kufanywa..
HAKI Wallah hata kutumia Akili tu Huoni kuwa Si Adabu kufanya Hivyo...
Quran haijasema kitu kuhusu Bangi Basi ndo imehalalisha kuvuta? La hasha M/mungu pia alikupa akili ya kujua
 
Yeah najua vizuri sana We uliona wapi imehalalishwa...
Quran ikiacha kutaja kitu haikihalalishi kufanywa..
HAKI Wallah hata kutumia Akili tu Huoni kuwa Si Adabu kufanya Hivyo...
Quran haijasema kitu kuhusu Bangi Basi ndo imehalalisha kuvuta La hasha M/mungu pia alikupa akili ya kujua
Nishajua tatizo lako ni nini. Ndugu, tuisome Dini yetu tuache utani.

Ngoja nikuache. Ila kabla sijakuacha, ngoja nikuache na hii; unamjua 'Ally Ibn Abi Talib (Radhi za Allah ziwe juu yake)? Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) alimuozesha binti yake Fatima (Radhi za Allah ziwe juu yake) kwa 'Ally. Unajua 'Ally Ibn Abi Talib Ibn 'Abdil Muttalib ni nani kwa Mtume Muhammad Ibn 'Abdillah Ibn Abdil Muttalib? Kaa chini uisome Dini yako.

Kazakh destroyer
 
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili.
1696247682273.png
 
HUO NI UONGO NA UPOTOSHAJI!
Ndoa za kiislam hufungwa kwa misingi ya kiislam na ipo sura mahsusi kwenye Quran (Sura An - Nisaa) inayoelezea taratibu zote hizo nk.
Labda nikumegee kidogo Aya ya 23

(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"

NAOMBA NA WEWE UNIWEKEE KIFUNGU CHOCHOTE KWENYE BIBLIA KINACHO ONESHA NANI HURUHUSIWI KUOA
Ingia Google andika WALAWI :18
Kisha soma

Biblia haijaacha kitu mpaka kula kuku na mayai imekatazwa humo
Hakuna ambacho hakijaongelewa
 
Back
Top Bottom