Kitu unachokosea Al akhy ni kujilinganisha na Mtume na hao ahulut bayt na fadhila na Kheri walizopewa wao...
Nimeuliza kitu kuwa wapi kumehalalishwa hujanijibu..
Nilikuwa nimeshaacha kukujibu. Ila narudi kwa mara ya mwisho kukupa nasaha kuwa mche Mola wako na usizungumze katika Dini kwa matamanio. Usizungumze katika Dini ya Allah bila ya Elimu.
???
naomba upitia Hadithi no 23 juzzuu ya pili ya Sahihi abu dawud "kitabu cha ndoa"
Ntanukuu kwa kuitafsiri kiswahili ...
"Abu Hurairah amesimulia kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (S.A.W) amesema, 'Ni marufuku kuoa mwanamke yeyote ambaye ni mtoto wa damu moja na wewe.'"
Sijui hata umeandika nini hapa daaaah. Mche Mola wako haya maneno umeyatoa wapi? Hiyo Hadith ipo wapi katika Sunan Abi Dawud? Naomba tu unitajie Hadith hiyo uliyoinukuu ipo wapi katika Sunan Abi Dawud. Sijaiona popote mimi binafsi.
Narudia tena usizungumze Dini bila ya Elimu. Halafu pia ni hatari mno kumsingizia uongo Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Sahih al-Bukhari 106
Narrated `Ali:
The Prophet (ﷺ) said, "Do not tell a lie against me for whoever tells a lie against me (intentionally) then he will surely enter the Hell-fire."
حَدَّثَنَا عَلِيُّ بْنُ الْجَعْدِ، قَالَ أَخْبَرَنَا شُعْبَةُ، قَالَ أَخْبَرَنِي مَنْصُورٌ، قَالَ سَمِعْتُ رِبْعِيَّ بْنَ حِرَاشٍ، يَقُولُ سَمِعْتُ عَلِيًّا، يَقُولُ قَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم " لاَ تَكْذِبُوا عَلَىَّ، فَإِنَّهُ مَنْ كَذَبَ عَلَىَّ فَلْيَلِجِ النَّارَ ".
kujilingNisha na ahlul bayt sio saawa kw Allah Amesema kuwa
"Mwenyezi Mungu ameisamehe nyumba ya Mtume, na wale wanaoingia kwake kwa amani, na wale wanaotoka kwake kwa kumcha Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu." (Qur'an 33:56)
Qur'an 33 : 56
56. Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
Allah sends His Salat (Graces, Honours, Blessings, Mercy, etc.) on the Prophet (Muhammad SAW) and also His angels too (ask Allah to bless and forgive him). O you who believe! Send your Salat on (ask Allah to bless) him (Muhammad SAW), and (you should) greet (salute) him with the Islamic way of greeting (salutation i.e. AsSalamu 'Alaikum).
Muogope Mola wako. Ni jambo baya mno unalolifanya.
kama unakumbuka sheikh ata iliposhuka aya ya kuoa wake wanne mtume alimuuliza Allah kuhusu katazo hilo ndo ikashuka aya hii..
Al-Ahzab". Aya hizi zinasema:
"Na tumekuhalalisha wake zako ambao umewalipa mahari yao, na wajakazi ambao Mwenyezi Mungu amekupa kwa ujira wako, na wanawake waliopewa na Mtume,
ikiwa amewachagua kwa ajili yake mwenyewe, kutoka kwa wanawake wa mfano wako, bila ya kuwaoa kwa mali. Basi mkiwapa mahari yao bila ya hila, na kuwaoa bila ya kuwalazimisha, basi hakuna dhambi kwako kuwapa zawadi wanazopenda. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima." (Qur'an 33:50-51)
so mkuu nyumba ya mtume walipewa Rehema kuliko sisi...
na ndo maana kwa mfano ulotoa Ally (R.A) na Fatuma (R.An) walikuwa ni mtu na niece ake yaani ni mtoto wa kaka yake lakini Kwakuw fadhila za Allah ziko na mtume na mtume afanyi kitu ila kwa wahyi..
alifanya hivyo lakini kw wewe..
utapata katazo la hadithi hapo juu na Surah Annissaa aya ya 23
Wallahi nakunasihi ,pamoja na kuinasihi nafsi yangu, Acha kuizungumza Dini bila ya Elimu.
Qur'an 4: 22-24
22. Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo na ni njia mbaya.
23. Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
24. NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu.
Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.
utapata katazo la hadithi hapo juu na Surah Annissaa aya ya 23
حُرِّمَتْ عَلَيْكُمْ أُمَّهَاتُكُمْ وَبَنَاتُكُمْ وَأَخَوَاتُكُمْ وَعَمَّاتُكُمْ وَخَالَاتُكُمْ وَبَنَاتُ الْأَخِ وَبَنَاتُ الْأُخْتِ وَأُمَّهَاتُكُمُ اللَّاتِي أَرْضَعْنَكُمْ وَأَخَوَاتُكُم مِّنَ الرَّضَاعَةِ وَأُمَّهَاتُ نِسَائِكُمْ وَرَبَائِبُكُمُ اللَّاتِي فِي حُجُورِكُم مِّن نِّسَائِكُمُ اللَّاتِي دَخَلْتُم بِهِنَّ فَإِن لَّمْ تَكُونُوا دَخَلْتُم بِهِنَّ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ وَحَلَائِلُ أَبْنَائِكُمُ الَّذِينَ مِنْ أَصْلَابِكُمْ وَأَن تَجْمَعُوا بَيْنَ الْأُخْتَيْنِ إِلَّا مَا قَدْ سَلَفَ ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ غَفُورًا رَّحِيمًا﴾
[ النساء: 23]
Forbidden to you (for marriage) are: your mothers, your daughters, your sisters, your father's sisters, your mother's sisters, your brother's daughters, your sister's daughters, your foster mother who gave you suck, your foster milk suckling sisters, your wives' mothers, your step daughters under your guardianship, born of your wives to whom you have gone in - but there is no sin on you if you have not gone in them (to marry their daughters), - the wives of your sons who (spring) from your own loins, and two sisters in wedlock at the same time, except for what has already passed; verily, Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.
23. Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Hiyo Hadith naomba uilete hapa acha uhuni na Aya ndio hiyo hapo.
Narudia tena, una dalili/ushahidi katika Shari'ah unaoharamisha kumuoa Binti wa Ami?
Nakuusia pamoja na kuiusia nafsi yangu muogope Mola wako.