Uwingi wa mazezetaUSHAHIDI WA HILI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwingi wa mazezetaUSHAHIDI WA HILI?
Yapo mkuu tena sio Moja ngoja nikupe machache...Lete andiko kutoka kwenye biblia linalo sema ni kosa kumuoa mtoto wa shangazi yako mama ndogo baba mdogo
Ukweli ni kwamba hata pamoja na dini ya kiislam kuruhusu kuoana binamu,lakini jambo hili hutokea mara chache sana tena kwa dharula,labda mmetiana mimba au mmefumwa mnaibana kinyemera.Mwarabu alileta Mila za hovyo Sana bongo. Wafuasi wa dini ya mwarabu kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba baba mkubwa ,baba mdogo na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na Mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji Hawa wa Mila kutoka uarabuni ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini Yao ambayo kimsingi ni Mila zao. Kutokana na hilo unakuta magonywa ya kurithi ya ki genetic yanakuwa mengi miongoni mwao
[emoji706]Mwarabu alileta Mila za hovyo Sana bongo. Wafuasi wa dini ya mwarabu kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba baba mkubwa ,baba mdogo na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na Mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji Hawa wa Mila kutoka uarabuni ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini Yao ambayo kimsingi ni Mila zao. Kutokana na hilo unakuta magonywa ya kurithi ya ki genetic yanakuwa mengi miongoni mwao
Yapo mkuu tena sio Moja ngoja nikupe machache...HUO NI UONGO NA UPOTOSHAJI!
Ndoa za kiislam hufungwa kwa misingi ya kiislam na ipo sura mahsusi kwenye Quran (Sura An - Nisaa) inayoelezea taratibu zote hizo nk.
Labda nikumegee kidogo Aya ya 23
(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"
NAOMBA NA WEWE UNIWEKEE KIFUNGU CHOCHOTE KWENYE BIBLIA KINACHO ONESHA NANI HURUHUSIWI KUOA
Walawi 18 imeeleza vyema tu,kuliko hata hiyo Quran yako unayodhani Ina Kila kitu.HUO NI UONGO NA UPOTOSHAJI!
Ndoa za kiislam hufungwa kwa misingi ya kiislam na ipo sura mahsusi kwenye Quran (Sura An - Nisaa) inayoelezea taratibu zote hizo nk.
Labda nikumegee kidogo Aya ya 23
(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"
NAOMBA NA WEWE UNIWEKEE KIFUNGU CHOCHOTE KWENYE BIBLIA KINACHO ONESHA NANI HURUHUSIWI KUOA
Hakuna tofauti,wote mnamfata MuhamadMkuu naona umekuja na Kuleta mada ya DINI ambayo mleta mada hakuleta na hakusema hivyo...
Kuhusu Zanzibar ni kweli wanaonana mtoto wa Ami na ami yake..Ambaye ni sawa na kusema mtoto wa baba mkubwa au bamdogo ni kitu cha kawaida katika uarabu na uzanzibar tumeishi huko tunaona na tunajua...
Usichanganye uarabu na uislamu au uzanzibar na uislma ni vitu tifauti
Haya ni ma Mila ya wahindi na waarabu eti ni wivu Mali isitoke nje ya familia ndio maana kwenye familia za wahindi na waarabu ndani Wana mazezeta au wenye mtindio wa UBONGO. Sasa sisi wa kuletewa dini tumebeba Kila kitu hata hayo mamila ya hovyo ila kimsingi makabila halisi ya kiafrika hilo halikubaliki.na ni laanaUkweli ni kwamba hata pamoja na dini ya kiislam kuruhusu kuoana binamu,lakini jambo hili hutokea mara chache sana tena kwa dharula,labda mmetiana mimba au mmefumwa mnaibana kinyemera.
Ni jambo ambalo kimaadili halivutii.
Hii laana hii🤓🤓🤓🙌🙌🙌😂😂Uongo dhambi mapenzi ya ndugu ni matamu.
Yaani mtu mnajuana toka utoto aisee afu mnakuja kuunganisha vikojoleo.
Nishawahi na mtoto wa shangazi aloo ule utamu ni pro max maana ni damu moja. Kuja kuachana nae ni nilitumia nguvu nyingi balaa.
Mtoto ana papuchi tamu yule .
Shida hapo ni kuzaa watoto mazezeta .
NB: natoa angalizo usije jariby kudate na ndugu kuchomoka ni ngumu maana ule utamu wa sex sio wa nchiii hii.
Huyu mtu ingekuwa ameibuka Karne hii angekuwa jela.Hakuna tofauti,wote mnamfata Muhamad
Hahah Quran Haijaruhusu Hicho kitu sasa wanamfata kwa Lipi maana quran imekataza na uislamu umekataza....Hakuna tofauti,wote mnamfata Muhamad
Kulinda amali na tunu za ukooBinamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana......Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo?!!!! Damu yangu?!!!! Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima......ninfgfukuzwa.
Hivi hekma haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini?!!! Au nini historia ya hili?!!!
Karibuni mnielimishe.
Mwarabu alileta Mila za hovyo Sana bongo. Wafuasi wa dini ya mwarabu kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba baba mkubwa ,baba mdogo na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na Mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji Hawa wa Mila kutoka uarabuni ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini Yao ambayo kimsingi ni Mila zao. Kutokana na hilo unakuta magonywa ya kurithi ya ki genetic yanakuwa mengi miongoni mwao
Uchoyo wa wahindi, waarabu na wenyewe asili hiyo kusambaza utajiri nje ya familia.Binamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana......Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo?!!!! Damu yangu?!!!! Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima......ninfgfukuzwa.
Hivi hekma haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini?!!! Au nini historia ya hili?!!!
Karibuni mnielimishe.
Hivi hamuoni kinyaa, unaingizaje hiyo kitu kwa damu yako mwenyewe?! Hushindwi kubaka mwanao weweUongo dhambi mapenzi ya ndugu ni matamu.
Yaani mtu mnajuana toka utoto aisee afu mnakuja kuunganisha vikojoleo.
Nishawahi na mtoto wa shangazi aloo ule utamu ni pro max maana ni damu moja. Kuja kuachana nae ni nilitumia nguvu nyingi balaa.
Mtoto ana papuchi tamu yule .
Shida hapo ni kuzaa watoto mazezeta .
NB: natoa angalizo usije jariby kudate na ndugu kuchomoka ni ngumu maana ule utamu wa sex sio wa nchiii hii.
Ni kwanini kuoana ndugu kunakatazwa?Binamu wanaoana.....
Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana......Zanzibar limetamalaki sana hili.
Yote hayo mi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo?!!!! Damu yangu?!!!! Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima......ninfgfukuzwa.
Hivi hekma haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini?!!! Au nini historia ya hili?!!!
Karibuni mnielimishe.
Mbona hii ipo sana kwa warabuUSHAHIDI WA HILI?
Mkuu avogadro sometimes kama Hujui sheria inabidi ukae tu kimya usijiabishe mbele za watu...Huyu mtu ingekuwa ameibuka Karne hii angekuwa jela.
❗ Ndoa za watoto wadogo alioa katoto ambalo kwa bongo Ukifanya hivyo ni ubakaji miaka 30 jela
❗ Hizi ndoa za maharimu ( close related blood) nayo ingekuwa jela
❗ Polygamy ( kosa la kutoa wake wengi nayo ni jela)
❗ Kugandamiza haki za wanawake, kuwafunika manguo meusi gubigubi, kuwakataza kushiriki kwenye siasa na maamuzi nayo ilikuwa jela