Utashindana lakini ....hautashindaHabarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
Mwacheni mtumishi. Omba kwa ajili yake Mungu ndiye muweza wa yote na yote. Naomba msimwandame saana mtumishi huyu mwachieni Mungu ambaye yeye hasemi uongo.Habarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
ReallyYaani yule Mzee mjanja mjanja kuna siku namcheki eti anamsifia magufuli nilicheka sana yaani anaongea kiujanja ujanja tu
Nshajua, ila ngoja machi ipite kwanza.
Hilo lipete alilolivaa ndio hilomalilokuwa anasema Diamond, mapete ya Green au blue
Hahaha hata mm nimewahi kujiuliza Hilo swali Lkn baada ya skendo kuwa anakunywa nikajua labda ndo sababuHabarini Wadau
Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu?
Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya kuzunguka macho.
Sababu ni nini?
Ni kweli ni kutokana na kujichubua au utumiaji wa pombe kali kama wadaivyo watu?
NI KWELI KABISA.Mimi nasemeja, kuwa na umri mkubwa sio kuharibika sura hapana kubwa. Tena kwa watoto wa Mungu, aliahidi kuwafanya wapya kila cku, angalia kwa mfano Mwlm Mwakasege, ni mkubwa sana tu kwa mzee wa upako, muungalie alivyo sura, hata mimi naonekana mkubwa kwake. Muonekano wa sura ya mtu huwakilisha yale anayofanya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maji ya kandoro na viroba vitakuwa vinamharibu!!!!
[emoji23][emoji23]
mwambie aombe ushauri wa Maji ya kutumia kutoka Kwa Ray
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nshajua, ila ngoja machi ipite kwanza.