Hivi ni nini kinamuharibu sura Mzee wa Upako ?

Amekengeuka ha ha ha Mungu ukimpa kisogo ye anakupa mgongo!
 
On point brother!
 
Kwanini siko fair?

Kwasababu nimeuliza ni nini kinamharibu Lusekelo sura?
 
Nawahurumia sana waumini wake ,kwa sasa sidhani kama hata huo uponyaji ataweza ,labda asaidiwe na zile pete !
 
Wewe unamchunguza mtumishi wa Bwana machoni una pepo la uzinzi,umemtamani,kumbuka huyu ni mume wa mtu.
Huna haya wala soni.

Biblia inakataza kumnenea ama kumsema vibaya mtumishi wa Bwana!
We sikiliza neno uokoke,Sura na mengineyo mwachie muumba!
 
Una uhakika nimemchunguza?

Unajua tofauti yakuchunguza na kuona au umejiandikia tu?
 
Hela
 
Mkubwa Azael, sio vyema kumnyoshea kidole mjoli wa Bwana Mungu!
Jamii kwa ujumla tulielewe hilo na tusiwe na tabia ya kuthibitisha habari ambayo haijadhihirika ni kweli.
Niwatakie jumamosi njema.
 
Kwanini siko fair?

Kwasababu nimeuliza ni nini kinamharibu Lusekelo sura?

Hujakosea kutoa maoni yako..lakini unasababisha watu wengine wafanye dhihaka ya maneno kwa mtu huyo; nae ni binadamu kama wengine. Usingeanzisha wewe huu uzi (kwa maana nzuri unayo waza wewe) yasingetokea maneno mengi kama yanayosemwa na watu humu...ambayo mengi si mazuri kwa binadamu mwenzao, hata ungekuwa wewe....au mimi..kama kakosa, basi Mungu wake anajua kudeal nae....na kama tayaru anadeal nae, sisi wengine hatujui..yeye ndo anajua...ila kuleta uzi hapa na kumsakama kwa "mabadiriko ya sura" sio Fair.....wengi tunabadirika kwa sababu mbalimbali...magonjwa, uzee nk....
 
BAPA SI CHAI. KUNA KIPINDI NILIKUWA NAYAPIGA MAWILI NA NUSU TENA KAVU, NILICHOKIPATA NI SIRI YANGU.
 
Mkubwa Azael, sio vyema kumnyoshea kidole mjoli wa Bwana Mungu!
Jamii kwa ujumla tulielewe hilo na tusiwe na tabia ya kuthibitisha habari ambayo haijadhihirika ni kweli.
Niwatakie jumamosi njema.
Una uhakika ni Mjoli wa bwana Mungu?

Ni nani amethibitisha ya kusikia?

Mkuu mimi nimeuliza tu swali kuhusu Lusekelo ili lijibiwe.
 
Leo nimefurahi mahubiri yake Channel ten.. Anakuambia "Acha maneno weka mziki"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…