Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho.

What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc

Screenshot_20231101_083656_X.jpg
Screenshot_20231101_083419_X.jpg
Screenshot_20231101_083328_X.jpg
Screenshot_20231101_054454.jpg
 
Mtu akijua thamani yake swala la kumiliki vitu Kama crown kuishi vizuri sio swala la kushangaa.

Maisha ni vipaumbele msiamni kuwa lazima mtu awe shoga ndo apate kuishi vizuri au kuwa bitch

Ikiwa mtu atajitambua thamani yake maana Yake atajua na thamani yawengine na atatengeneza credibility hali ya kuaminiwa .

Kuna Sehemu Unabidi uwekeze pesa na Muda wako lakini usikose kuwekeza katika MAARIFA maana huko utajiri na umasikini ndipo huwa unazaliwa , unakua na hatimaye kufa.
 
Ila wengi pale Mashoga wengine wamehamia frame za maduka nje ya Mlimani city (kama unaoelekea Survey)
 
Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho.

What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc

View attachment 2799781View attachment 2799782View attachment 2799783View attachment 2799765
Saaaaguda saguda de 47 huko wapi mutu wangu wa nguvu tunakufa na mjamaa. Sasaa saaaagudaaaa de 47 Saguda47
 
Ila wengi pale Mashoga wengine wamehamia frame za maduka nje ya Mlimani city (kama unaoelekea Survey)
Kama unataka kuishi vizuri Unabidi kuhakikisha unafatilia mambo yako tu hii itakufanya kuishi bila kujiumiza Wala kumuumiza mtu .

Maana hata Bilnass yupo na duka la simu makumbusho na sinza hivyo Kuna vitu Kama crown au mtu kukaa Sehemu kodi inalipwa laki tano ,sio vitu vya kushangaa sema ni umasikini ndo unatufanya kushangaa crown na kukaa apartment.

Tuendelee kupambana success is not for choosen one.
 
Achaneni nao hao vijana. Binafsi naonaga wale wafanyabiashara za simu na vifaa vyake pale makumbusho pamoja na vifaa vingine vya kielektroniki wanajitambua na kujithamini kupita hata wa Kariakoo.

Kariakoo ndo kumejaa vijana wa hovyo Dar es Salaam nzima hakuna! (Matapeli, vibaka, wajuaji, washirikina, wadananda na kadha wa kadha... wote humo humo)
 
Back
Top Bottom