Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

Hivi ni nini kipo kwa vijana wa Makumbusho, mbona watu wana wadiss sana?

Kama unataka kuishi vizuri Unabidi kuhakikisha unafatilia mambo yako tu hii itakufanya kuishi bila kujiumiza Wala kumuumiza mtu .

Maana hata Bilnass yupo na duka la simu makumbusho na sinza hivyo Kuna vitu Kama crown au mtu kukaa Sehemu kodi inalipwa laki tano ,sio vitu vya kushangaa sema ni umasikini ndo unatufanya kushangaa crown na kukaa apartment.

Tuendelee kupambana success is not for choosen one.
Okay tuseme kwa siku unaweza kuuza makava mangap ya sim mkuu mpaka uweze kumiliki mali zote hizo?
 
Achaneni nao hao vijana. Binafsi naonaga wale wafanyabiashara za simu na vifaa vyake pale makumbusho pamoja na vifaa vingine vya kielektroniki wanajitambua na kujithamini kupita hata wa Kariakoo.

Kariakoo ndo kumejaa vijana wa hovyo Dar es Salaam nzima hakuna! (Matapeli, vibaka, wajuaji, washirikina, wadananda na kadha wa kadha... wote humo humo)
Huwezi kumfananisha kijana anayemiliki frame Kariakoo na hao iPhone Makumbusho...

Labda kama unazungumzia vijana wengine...
 
Hahahahahah mie nilikuwa namaanisha wale vichaa wanaozagaa wengine wako kazini. Nyi mnasema hawumwi wakati wanarushiwa mabox ya dawa usiku
Situmukubaliana wanaadapt mazingira mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom