Hivi ni rasimi sasa tuamini Mdude Kauliwa na watekaji?

Hivi ni rasimi sasa tuamini Mdude Kauliwa na watekaji?

Volunti non fit injuria.....served as per his order
 
Hapana mi namchukuaga dada yako tu
Hili nalo silijui pia, nitaaminije sasa kumhusu Mdude kama siyo wewe, kama jambo la kuuwa huwa ni la siri, lakini unadiriki kumbeba dada kwa siri, utashindwaje kumdhuru Mdude kwa siri hizo hizo?
 
Hili nalo silijui pia, nitaaminije sasa kumhusu Mdude ikiwa hukuwa ni wewe?
Siku mdude anachukuliwa mimi nilikua nipo na Dada yako muulize atakueleza ili uamini kuwa siyo mimi
 
Kinachonipa nguvu, ni pale binadamu yeyote, masikini, tajiri, mwenye mamlaka n.k, woote lazima tuonje mauti

Shida inaanzia hapa!

Kuhukumu na kunyima watu uhai ni laana katika nchi, Damu ndio uhai wa mtu, na damu inapomwagwa kwa ukatili, hulia mbele za Mungu kwa kutaka kisasi juu ya nchi

Kwa nini utaratibu wa mtu kukamatwa na kisha kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, unapuuzwa?

Kwa nini mtekaji na mwamuzi wa uhai wa wengine, wewe unajihisi kwamba maisha yako ni shwaari kiasi kwamba kesho huna nayo taarifa na kwamba itakuwaje unapochukua maamzi ya kutoa uhai wa watu, Je watoto na familia yako iko salama kiasi gani?

Ni wakati gani umewahi kufikiria juu yako wewe unapochukua uamzi wa kudulumu uhai wa wengine kwamba, ingelikuwa ni wewe ungefanya nini?

Je, Mdudu alikuwa jambazi lililoshindikana kiasi cha kuwa Gaidi?

Mdude amehatarisha maisha ya wengine kiasi cha kufikia hatua ya yeye kuuliwa?

Nakubaliana kabisa na hukumu ya kifo kwa mtu yeyote Gaidi, maana mtu aina hiyo, hana huruma ya maisha ya awaye yote

Je Mdude alikuwa Gaidi?

Kuna mahali nchi yangu haiko sawa wallah!

Trust me, Huyu Mungu ninavyomjua, watapata tu sehemu yao ya ubaya wao
 
Ukiweka list ya watu walionyanganywa uhai tukianzia kwa Mwendazake hadi huyu bi aingaya wanaweza fikia 200 na ushee wanaojulikana.

Hii ni hatari sana, kosa lao kubwa kupelekea kifo ni kuikosoa Serikali takatifu isiyo na dhambi haoa Duniani - Serikali ya chama sikivu cha mapinduzi.

Mdude kama wamekuua kweli basi pumzika kwa amani - hapa Duniani wote tunapita tu.
Siku ile alivyokanusha RPC na RC akaja na ahadi ya milioni 5 ilikuwa tayari, siku zote anapotezwa hatusikii ahadi wala makanusho
 
Siku mdude anachukuliwa mimi nilikua nipo na Dada yako muulize atakueleza ili uamini kuwa siyo mimi
Kama kumchukua dada ni siri, iweje ushindwe kumdhuru Mdude kwa siri hizo hizo,

Wanaume wenzako hatufanyi kwa siri, nimekuwa na muda sasa tangu nianze kutoka na manzi wako huku akiniambia unatarifa zote zangu na hunaga baya pindi anapokuja na burunguti la pesa nilompa
 
Kama kumchukua dada ni siri, iweje ushindwe kumdhuru Mdude kwa siri hizo hizo,

Wanaume wenzako hatufanyi kwa siri, nimekuwa na muda sasa tangu nianze kutoka manzi wako huku akiniambia unatarifa zote zangu na hunaga baya pindi anapokuja na burunguti nilompa
Kwa jinsi ulivyolegea vidole hata kuandika hujui , unawezaje kuwa na demu wangu au ni shosti yako? Alafu demu wangu ndo huyo Dada yako kwahiyo unanithibitishia kuwa huwa unamkaza Dada yako?
 
Mi naona vijana wa chadema nao wachukue hatua ya kulipa kisasi kwa vijana wa ccm, nao watekwe wapigwe lakini wasiwaue
 
Kwa jinsi ulivyolegea vidole hata kuandika hujui , unawezaje kuwa na demu wangu au ni shosti yako? Alafu demu wangu ndo huyo Dada yako kwahiyo unanithibitishia kuwa huwa unamkaza Dada yako?
😂
Tayari umeshapaniki

Kummega demu wako inakuwa kesi?

Wewe siyo wa kwanza kumegewa bhana! Shika hili, hizo pesa anazokuwa akikununulia Sjui boxa, sjui chips😂 huwa zinatoka mwanaume lijali
 
Swali lingekuwa yoyote kwanini atekwe au auliwe ?

Tukianza kwenda hivyo tutakwenda sawa bila shida yoyote every life matters kila Binadamu ana haki katika dunia hii... Tukianza kukemea kila chafu na baya no matter kafanyiwa nani na wapi tutafanikiwa every life matters kuanzia kina Akwirima, Mawazo au yoyote yule ambaye atakumbwa na huu upuuzi kesho au keshokutwa....

Tunaendelea kucheka na nyani na tumeshaanza kuvuna mabua
 
Back
Top Bottom