Hivi ni rasimi sasa tuamini Mdude Kauliwa na watekaji?

Hivi ni rasimi sasa tuamini Mdude Kauliwa na watekaji?

Mama yangu mzazi ni Bibi yako kuwa na adabu maana Mama yako akiwa kigori alikua pisi yangu
shida makalio yako yameshikilia ubongo wako siwo wewe.
 
😂
Tayari umeshapaniki

Kummega demu wako inakuwa kesi?

Wewe siyo wa kwanza kumegewa bhana! Shika hili, hizo pesa anazokuwa akikununulia Sjui boxa, sjui chips😂 huwa zinatoka mwanaume lijali
Sasa demu wangu si ni Dada yako kwahiyo huwa unammega dadaako?
 
Ni kweli, Jamaa alikuwa mtata, lakini ni kweli alistahili kuuliwa?

mbona wengine tunaona wanashikwa na kupelekwa Jela, ilikuwaje kwa yeye?
Ndio maana nimesema sikubaliani na mambo ya kumsababishia kifo mtu. Ila kwa ukimya huu hatuwezi sema kuna uhai upo.
 
Kinachonipa nguvu, ni pale binadamu yeyote, masikini, tajiri, mwenye mamlaka n.k, woote lazima tuonje mauti

Shida inaanzia hapa!

Kuhukumu na kunyima watu uhai ni laana katika nchi, Damu ndio uhai wa mtu, na damu inapomwagwa kwa ukatili, hulia mbele za Mungu kwa kutaka kisasi juu ya nchi

Kwa nini utaratibu wa mtu kukamatwa na kisha kufikishwa kwenye vyombo vya sheria, unapuuzwa?

Kwa nini mtekaji na mwamuzi wa uhai wa wengine, wewe unajihisi kwamba maisha yako ni shwaari kiasi kwamba kesho huna nayo taarifa na kwamba itakuwaje unapochukua maamzi ya kutoa uhai wa watu, Je watoto na familia yako iko salama kiasi gani?

Nyinyi wadhulumu uhai wa watu tena kwa ukatili wa hali ya juu, Vuta picha ya Mdude halafu fanya uwe ni wewe, ni halali utendewe unyama huo?

Na Je, Mdude alikuwa jambazi sugu kiasi cha kusithili adhabu hiyo?

Mdude amehatarisha maisha ya wengine kiasi cha kufikia hatua ya yeye kuuliwa?

Nakubaliana kabisa na hukumu ya kifo kwa mtu yeyote Gaidi, maana mtu aina hiyo, hana huruma ya maisha ya awaye yote

Je Mdude alikuwa Gaidi?

Kuna mahali nchi yangu haiko sawa wallah!

Mdude wamemlazimisha kufuata nyayo za Ben Saanane, Soka, na wenginei wengi.
Nchi hii kwa sasa inahitaji kukombolewa ili damu za Watu zisiendelee kumwagika katika Mazingira ya namna hii.
 
Kuna mambo huwa hayawezi kupita hivi hivi hata kama wanadamu watakaa kimya
 
Iko nguvu ya ziada na inayopuuzwa sana na baadhi ya wenye nguvu na mamlaka za duniani, ambayo kwa sasa, ndiyo inayoweka hadharani kila uovu wote ikiambatana na laana juu
 
Inasikitisha sana. CCM ni mashetani

Ila Jamaa nae alikuwa mtata sana
 
Back
Top Bottom