Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

HIYO KAZI ITAWAACHANISHA...YOU WILL CONFESS HERE ONE DAY...

MPE CHOICE...KAZI AU NDOA...
 
Wanawake wa Afrika ni ma Parasites kwetu kwani hulijui hilo? Haga kama ulikuwa unampa hela kila jmosi za kikoba chao utaaibika na deni la elfu 50 siku ambayo mkeo ana milion 3 ambazo kavunja kikoba ambacho wewe ulikuwa unachangia kununua hisa na kurejesha marejesho ya mkopo ambao hata wewe huujui ila unachojua kakopa mkeo.
Billie naongea
 
Ako na salary ya six figure, six figure ndio nini, na ako na salalry ndio nini we mtu wa Machakos, kwanza mna working papers au mnafanya kazi under the table hapa bongo ??
Tuna working papers mkuu
 
Wanawake wa Afrika ni ma Parasites kwetu kwani hulijui hilo? Haga kama ulikuwa unampa hela kila jmosi za kikoba chao utaaibika na deni la elfu 50 siku ambayo mkeo ana milion 3 ambazo kavunja kikoba ambacho wewe ulikuwa unachangia kununua hisa na kurejesha marejesho ya mkopo ambao hata wewe huujui ila unachojua kakopa mkeo.
Billie naongea
Sure mkuu
 
Habari jf?
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2m,but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia?
Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
mpe hela ww usije chapiwa kisa 20k
 
Habari jf?
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2m,but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia?
Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
"Tuishi nao kwa akili"...usipokuwa na busara hiyo nyumba itavurugika....
 
Habari jf?
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2m,but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia?
Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Mkuu, kwenye mahusiano na hawa viumbe hii kitu inaitwa 'logic' huwa hai-apply. Ukitaka kila jambo uliweke kwenye mizani ya 'logic' itakugharimu. Akiomba hela ya kusukia we mpe tu!
 
Mkuu mwanamke ni kama mtoto ulivyomzoesha kwenye uchumba ndivyo utaishi naye kwenye ndoa hakuna mtu mgumu kutoa pesa Kwa mwenza wake kama mlizoeshana kupeana Ila kama ulikuwa unabeba majukumu yote mwenyewe aisee itakuumiza snaa ukitaka uishi naye akili wewe mkope Tu uku ukisema mishe zako zimebuma utamrudishia

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Habari jf?
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2m,but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia?
Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Ni jukumu lako bro. Hata kama mkeo ni waziri ama raisi, jukumu la kumtunza na kumgharamia ni la kwako. Ukishindwa tutakusaidia (with a cost) of course. Mshahara wa mkeo no wa mkeo, wa kwako ni wa KWENU.
 
Back
Top Bottom