Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

Wabongo ndoa zenu zinatabu sana mwanamke anakipata kikubwa eti hawezi kuchangia mahitaji ya nyumbani Kisa yeye mwanamke nashangaa sana,matumizi yote ndani ya nyumba inastahiki iwe pasu pasu
Yaan pasu pasu ???
Nitachangia matumizi lkn isiwe sheria eti 50/50
 
Tuna working papers mkuu

okay

basi ujue six figure salary ni laki moja mpaka laki 9 tisini na tisa elfu, mia tisa tisini na tisa, au TZS 999,999 kwa hela ya bongo. Ambao sio mshahara wa kitajiri.

Milioni mbili sio mshahara wa six figure, umezidi six figure.

Concept ya 6 figure is non-applicable huku Tanzania. Sio kila kitu cha nje kina apply hapa kwetu. Kwa nini diaspora mnakuwa illiterate namna hii wakati huko nje ndio kuna ma shule na mavyuo mengi?????
 
Ni jukumu lako bro. Hata kama mkeo ni waziri ama raisi, jukumu la kumtunza na kumgharamia ni la kwako. Ukishindwa tutakusaidia (with a cost) of course. Mshahara wa mkeo no wa mkeo, wa kwako ni wa KWENU.
Mbona kuna Wanawake akisha pokea Mshahara wake ana kabidhi wote kwa Mumewe,na Mume ndiyo anapanga matumizi! Hao Wanaume wanatumia dawa gani mpaka wanaweza mlainisha Mwanamke hadi anakabidhi mshiko wake!!
 
Habari JF.

Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Inatokana na ulivomzoesha tangu mwanzo mnachumbiana. Nyumba zingine hizo mambo tunashirikishana mipango yote inayohusu familia
 
Aisee wanawake ni viumbe wa ajabu sana, Tena usipompa hiyoiyo ndio itamchepusha!
 
Back
Top Bottom