Mme wako na wanao ndiyo familia yako na ndiyo unatakiwa uwape!!Familia yake..I mean wazazi na ndugu zake
Kabidhi Mzigo kwa kichwa cha Nyumba ili aplani life yenu vizuri!!Jamen pesa zetuni zetu tufanyeje muelewee[emoji18]
Ndiyo Mkuu ninae!!Una mke kwanza? Maana hili la muhimu zaidi
Ako na salary ya six figure, six figure ndio nini, na ako na salalry ndio nini we mtu wa Machakos, kwanza mna working papers au mnafanya kazi under the table hapa bongo ??
Sawa mama tumekusoma. Wanaume Lazima tujifunze kuishi na wanawake kwa akili.Hujui tu cha kupewa kinanoga sana[emoji854] Mwanamke hata awe millionea sio kwamba anashindwa kujifanyia ila anataka kujiskia na yeye anajaliwa/anafanyiwa na mwenza wake.
Mishahara hii imewafanya wanaume waishi na wanawake kama wanaume wenzao kisa ana hela, unamhonga honga mara 1 moja ajiskie na yeye anatunzwa.
Ila hapa siongelei wale wa kila kitu mpaka mwanaume.
Binadamu yoyote tu unaishi nae kwa akiliSawa mama tumekusoma. Wanaume Lazima tujifunze kuishi na wanawake kwa akili.
Familia yake???? mama yake nae apeleke kwa bibi yake au?? hapo alipoolewa ni familia ya nani? au yuko kwa mkopo tu hapo??Familia yake..I mean wazazi na ndugu zake
Wewe endelea na 2G wakati Dunia imesha pita 3G, 4G na sasa inaenda 5GWAKURUNGWA 7; 12
Amin Amin Nawaambia, pesa ya Mwanaume ni ya Familia na Pesa ya Mwanamke ni ya Kwake. Mume Mpumbavu huinung'unikia pesa ya mkewe.
Hawa ndio mungu amewaumba hivyo aisee. Vumilia tu.Habari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Siku akijua pesa ya Mkewe inaliwa na bodaboda ataenda kujinyonga!! Kuna Wanawake ndani hawezi hata kumkopesha Mumewe,lakini huko Nje kuna Wanaume za Watu kawakopesha bila dhamana yoyote!!Wewe endelea na 2G wakati Dunia imesha pita 3G, 4G na sasa inaenda 5G
Ukitoka usingizini nenda ukabadilishe line
Subiria wale wa 50/50 waje kukulenga kaa chonjo!Habari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Hii ni hatari kmmmke, na bado mkizinguana anataka mgawane mali pasu kwa pasu 😂Siku akijua pesa ya Mkewe inaliwa na bodaboda ataenda kujinyonga!! Kuna Wanawake ndani hawezi hata kumkopesha Mumewe,lakini huko Nje kuna Wanaume za Watu kawakopesha bila dhamana yoyote!!
Mwanamke wa kibongo ni mbinafsi balaa 🤣🤣🤣 na wapo mstari wa mbele kuji proud na hio tabia yao ya kipuuzi. Mie mke wangu lazma hela yake ilete tija kwenye familia. Haiwezekani mwanamke ana hela nyingi halafu nimuache anletee nazo jeuri...ntaziundia kamati tu ya kuzibomoa au tuziweke mahali salama ila ambapo hatakuwa na access nazo bila kumruhusu. Hela inatabia ya kuleta kiburi sana.Wanawake wa Afrika ni ma Parasites kwetu kwani hulijui hilo? Haga kama ulikuwa unampa hela kila jmosi za kikoba chao utaaibika na deni la elfu 50 siku ambayo mkeo ana milion 3 ambazo kavunja kikoba ambacho wewe ulikuwa unachangia kununua hisa na kurejesha marejesho ya mkopo ambao hata wewe huujui ila unachojua kakopa mkeo.
Billie naongea