Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

Mwanamke wa kibongo ni mbinafsi balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wapo mstari wa mbele kuji proud na hio tabia yao ya kipuuzi. Mie mke wangu lazma hela yake ilete tija kwenye familia. Haiwezekani mwanamke ana hela nyingi halafu nimuache anletee nazo jeuri...ntaziundia kamati tu ya kuzibomoa au tuziweke mahali salama ila ambapo hatakuwa na access nazo bila kumruhusu. Hela inatabia ya kuleta kiburi sana.
Mimi mpaka access ya account ya wife niko nayo namonitor all transactions sitaki ujinga!!
 
Mimi mpaka access ya account ya wife niko nayo namonitor all transactions sitaki ujinga!!
Eeh huo ujinga wa kumuachia madaraka mke akutawale hapa kwangu hakunaga. Umefanya jambo zuri sana mkuu. Maana hawa watu hawaeleweki unaweza shangaa kashikwa maskio na bodaboda anamjengea nyumba ili ikiisha akuache wewe kwa visa ili wakaishi kwenye nyumba yao 😂😂😂
 
Wewe unahaki ya kuomba mkuu. Halafu wanawake huwa hawajui tu, hata kama utachangia Tsh. 100,000/= kati Tsh.2,000,000/= unazopokea, huwa tunaappreciate sana.
Eeh mwanamke kwenye mambo ya msingi kama unashow support hamna tatizo. Shida ni pale anapokuwa mnyonyaji mwanzo mwisho. Yani hadi unahisi mke anakudanga.
 
Wahenga walisema jambo kama hili sio ? Ndege wafananao huruka pamoja eeh

umempata wa kufanana nae, ningekuhudumia kwa kila kitu kama huingizi pesa, kama unaingiza pesa matumizi yako binafsi ni juu yako na halina mjadala hilo [emoji1][emoji1] , pesa yangu ya ziada itaenda kwenye mambo ya msingi na sio kucha wala nywele sijui mavazi, fanya mwenyewe
Hahahah we jamaa ni mtu imara sana.🤣🤣🤣 Hamna kuendekeza utoto!
 
Mwanamke wa kibongo ni mbinafsi balaa 🤣🤣🤣 na wapo mstari wa mbele kuji proud na hio tabia yao ya kipuuzi. Mie mke wangu lazma hela yake ilete tija kwenye familia. Haiwezekani mwanamke ana hela nyingi halafu nimuache anletee nazo jeuri...ntaziundia kamati tu ya kuzibomoa au tuziweke mahali salama ila ambapo hatakuwa na access nazo bila kumruhusu. Hela inatabia ya kuleta kiburi sana.
kuna mtu huko juu kaquote mstari kwenye Bible eti 'tuishi nao kwa akili' 😂😂 kumbe kuishi nao kwa akili ni pamloja na kuhudumia mambo ambayo wanaweza kujikimu pasi na msaada wa mume!

Mwingine anasema mshahara wa mwanamke haupigiwi bajeti! Wanasahau usipopigia wewe bajeti huko nje kuna bodaboda atakusaidia kuibajeti😂😂...

Hiki kizazi cha zamani kina tatizo sana yani wanaishi kwa kukariri kwenye hii dunia ya 'twente twente'
 
Wanaponiacha hoi wanawake wa kibongo kote wanataka haki sawa ila linapokuja swala la wao kutoboka hapo lazma walete ngonjera za kwenye biblia, "Muishi nao kwa akili" na "Mtakula kwa jasho" ila wao wanajisahaulisha kuwa katika kiapo muhimu kukifanya madhabahuni ni "nanyi mtakuwa mwili mmoja" ubaya wao wanachoelewa ni kuwa hela zetu tu ndio za wao kutumia ila wao wakipata zao zinaishia kibindoni tu.
 
Eeh huo ujinga wa kumuachia madaraka mke akutawale hapa kwangu hakunaga. Umefanya jambo zuri sana mkuu. Maana hawa watu hawaeleweki unaweza shangaa kashikwa maskio na bodaboda anamjengea nyumba ili ikiisha akuache wewe kwa visa ili wakaishi kwenye nyumba yao [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwanamke utakayemuona anafanya uzamwamwa bin ujinga huo km unamfahamu niunganishe naye nikampige mijredi ya kufa mtu!.Mwanamke smart hawez fanya ujinga zaid ya kujenga kwao km hakuelewek na kujiwekeza huku akimsaidia mmewe hata kwa percent ndogo anapoona mambo hayapo sawa hata km ni mbinafsi kiasi gani.

Mm binafsi km kipato kinaruhusu napenda kuchangia mambo ya ndani km vyakula,na mahitaji madogo madogo + nguo za ndani za Mme wangu[emoji85].Yeye adeal na mambo advanced...inshort niwe waziri wa mambo ya ndani kisela[emoji28]
 
Pesa ya mwanamke inaliwa na watu wawili tu..MGANGA WA KIENYEJI na MCHUNGAJI..tuliobaki wote watoaji
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]afu kweli [emoji2772][emoji2772]
 
Huyo mwanamke utakayemuona anafanya uzamwamwa bin ujinga huo km unamfahamu niunganishe naye nikampige mijredi ya kufa mtu!.Mwanamke smart hawez fanya ujinga zaid ya kujenga kwao km hakuelewek na kujiwekeza huku akimsaidia mmewe hata kwa percent ndogo anapoona mambo hayapo sawa hata km ni mbinafsi kiasi gani.

Mm binafsi km kipato kinaruhusu napenda kuchangia mambo ya ndani km vyakula,na mahitaji madogo madogo + nguo za ndani za Mme wangu[emoji85].Yeye adeal na mambo advanced...inshort niwe waziri wa mambo ya ndani kisela[emoji28]
Yani mi nashangaa watu wanaosema wake hawapatikani ujue, unajua nimekuja gundua mindset ya mtu ndio ina attract aina ya mke ambaye anaweza kuendana nae 😍😍😍!!!

Unajitambua sana miss desree, i really like your kind of thinking..Mmebaki wachache sana please take it as a Compliment. Sijajua kama umeshafanya kile kiapo but trust me you are such a darling!
 
Hata angekuwa analipwa 10M ni wajibu wako kumhudumia. Btw, anasukia hela ndogo sana mbona? Elfu 20 ni yakuoshea tu nywele na kublow-dry, Toa tu mkuu...
 
Habari JF.

Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Hyo pesa yake usipigie mahesabu we mpe kiroho Safi ndivyo walivyo umbwa na hata vitabu vya dini vinasema
 
Pesa yangu ni ya kununulia pamba kali, poch, na viatu ili job madada duu wanikome
 
Back
Top Bottom