Jeceel
JF-Expert Member
- Feb 6, 2018
- 1,475
- 3,116
Umemaliza mkuuWanagharamia sana hadi siku akikuta mkewe anagongwa wanajiuwa au wanamuwa Mwanamke!!
Umemaliza mkuuWanagharamia sana hadi siku akikuta mkewe anagongwa wanajiuwa au wanamuwa Mwanamke!!
Inategemea na nyie wenyewe. Mimi huhudumia familia, hujilipia kusuka lakini huomba pesa na mikoba naomba kununuliwa.
Habari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Utaleta umaskini nyumbaniUkioa assume mkeo hana kipato.. toa tuu.. ni wajibu wako.
Utaleta umaskini nyumbani
Hili nalo neno na ndiyo Ukweli wenyewe,Kama hupendwi utatumiwa mpaka basi!!Kama hupendwi dalili huwa ni nyingi sana!
Alafu wanaopendwa ndiyo watazitumia kwa rahaa zao ,tena wao hawaziiombi wanapewa kwa lazima!!Hili nalo neno na ndiyo Ukweli wenyewe,Kama hupendwi utatumiwa mpaka basi!!
Kama ulicho andika ni kweli; Utakuwa umebahatika kupata mwanamke mwenye kipato KizuriHabari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Urembo wangu ni kipaumbele. He likes me beautifulMmmhh
Kama unachezea hela za mumeo, si mnachezea hela zenu wote huoni hy hela ingefanya maendeleo mengine ikiwa urembo wako sio kipaumbele
Wahenga walisema jambo kama hili sio ? Ndege wafananao huruka pamoja eehUrembo wangu ni kipaumbele. He likes me beautiful
Kuna Wanaume wengine wakisha ona wake zao Wana kipato kikubwa kuliko wao,eti wanakua Wanyonge badala watembee kifua mbele ajenge familia yake kwa mipango mkakati!!Kama ulicho andika ni kweli; Utakuwa umebahatika kupata mwanamke mwenye kipato Kizuri
Ushauri wangu: tengeneza utaratibu wa mke wako kushiriki kwenye maendeleo ya familia. Namna ya kushiriki inategemeana na familia yako ila inaweza kuwa; ununuaji wa chakula cha familia, au pengine mahitaji mengine kama gasi umeme nk . Ukisha tengeneza mazingira ya mwanamke kushiriki/Kuchangia maendeleo ya Familia wala hungekuwa na haja ya kuposti hapa eti umeombwa hela ya kusuka kwani ungetoa kwa roho nyeupe (niwajibu wako)
Na kama utaona unaweza kujifanyia kila kitu na kutomshirikisha mkeo usije kuja hapa kupost kuwa mke wako anajenga kwao, au amejenga nyumba huifaham au amefungua biashara huifaham. Kama mkeo ni mwerevu ataendelea kusonga mbele kivyake huku wewe ukifikiri unadumisha Ndoa kumbe ni kinyume chake......
Mwaname ni kiongozi, mwanamme ni kichwa cha nyumba!!!!
Alafu yeye zake anampa Nani anae mpenda huko Nje!?Wanawake wengi wanaona wakipewa ndo wanapendwa, sasa wewe usimpe ataona labda humpendi na umepata mwingine unampa.
Familia yake..I mean wazazi na ndugu zakeAlafu yeye zake anampa Nani anae mpenda huko Nje!?