Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

Anaeza kweli kua mzigo lkn naomba nikuulize kama wewe upo kwa ndoa, je hutumii hela ya shemeji kwa mambo yako? Labda na kazi unayo tayar haijalishi unaingiza kiasi gani kwa mwezi! Kama haupo ktk ndoa ila mahusiano tu ya kawaida na kazi tayari unayo, je huyo mpeñz wako hua unamuomba salio?????!!
Yes namuomba ila kwa vitu heavyweight mfano ada za watt etc...
 
Shida tuliyonayo tunachanganya tamaduni mbili kwa wakati mmoja na kuna jiansia moja inataka kunufaika na huo mchanganyo wa tamaduni Mbili.
Nchi Za magharibi wake wanafanya Kazi na wanachangia kipato cha familia.
Huku tamaduni zetu mke anatunzwa na mume na yeye anabaki na jukumu la kuhudumia familia nyumbani, anamuhudumia mume na watoto Hiyo ndio kazi yake kuu.

Sasa ikiwa mke anafanya kazi inamaana anatumia muda wa familia kwahiyo anatarajiwa kutoa mchango kwenye familia kwa masaa ya familia anayoyatumia.

Sasa mke anataka kuuishi umagharibi kwa kufanya kazi ya kuingiza kipato na wakati huohuo Anataka uafrika kwa kuhudumiwa na mume na yeye asitoe chochote kwa familia.

Familia ni taasisi mume ni kiongozi wa taasisi anawajibika kuangalia mchango wa kila mwanafamilia, ukiona mke hachangii sana kwenye familia zaidi ya kutumia vya rasilimali Za familia inamaana huyu sio mwanafamilia ila yupo hapo kwa malengo binafsi na mume umeshindwa Kumuongoza Huyo mke vyema, umemuacha aishi uchumba kwenye ndoa.

Kama familia imesacrifce muda kwa mke kwenda Kazini ikiwa na maana watoto wamewekwa kwenye hatari ya kukaa na Dada wa kazi na majukumu ya nyumbani wameachiwa stranger tunataraji huyu mke achangie kwenye familia kwa kutumia muda wa familia hivyo familia inufaike na mateso ya kumkosa mama nyumbani walau kwa mama kuongeza kipato cha familia.

Kama mke anaenda Kazini anaenda ili familia inufaike na nini kwa yeye kwenda Kazini?
Kama familia hainufaika na chochote na kazi ya mke then huyu mke anaihujumu familiar kwa kutumia rasilimali muda wa familia.

Tuoe wake tunaoendana nao na tunaopendana nao ili Maisha yawe ya raha. Mume ni kiongozi wa familia anapaswa kushaurina na mke lakini anapaswa kumuongoza mke. Ukishindwa kumuongoza mkeo umeshindwa vyote na utalalamika ila tatizo ni wewe.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Ukioa mke mwenye kipato, na ili uishi kwa amani bila 'stress' fanya kama vile umeoa mama wa nyumbani ambaye haingizi kipato. Usipigie hesabu kipato chake kabisa. Ikitokea ameamua kipato chake kimechangia kwenye matumizi yenu, unasema hewala.
Kumbuka wewe ndiye kichwa cha familia.

Huu ndio mtizamo unaotakiwa kuingia nao kwenye ndoa na utafanikiwa. Ukijidanganya tuu kuwa tuta share majukumu ujue ulishakaribisha kugegedewa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama Mwanaume kwenye nyumba akiwa na 500,000 ,mwanamke 1,000,000,basi kipato cha hiyo nyumba jumla yake ni 500,000.

Hesabu hizi wana elewaga wanaume tu,wavulana hawezi elewa.

Kijana hela ya mwanamke chungu,husiipigie kabisa hesabu ktk kujenga familia,labda mwanamke atake mwenyewe.

Hesabu hizi zimeemda shule hatari. Ukielewa hizi hesabu ndio utakapo tambua kiwa wanawake ni chombo cha starehe tuu.
 
Shida tuliyonayo tunachanganya tamaduni mbili kwa wakati mmoja na kuna jiansia moja inataka kunufaika na huo mchanganyo wa tamaduni Mbili.
Nchi Za magharibi wake wanafanya Kazi na wanachangia kipato cha familia.
Huku tamaduni zetu mke anatunzwa na mume na yeye anabaki na jukumu la kuhudumia familia nyumbani, anamuhudumia mume na watoto Hiyo ndio kazi yake kuu.

Sasa ikiwa mke anafanya kazi inamaana anatumia muda wa familia kwahiyo anatarajiwa kutoa mchango kwenye familia kwa masaa ya familia anayoyatumia.

Sasa mke anataka kuuishi umagharibi kwa kufanya kazi ya kuingiza kipato na wakati huohuo Anataka uafrika kwa kuhudumiwa na mume na yeye asitoe chochote kwa familia.

Familia ni taasisi mume ni kiongozi wa taasisi anawajibika kuangalia mchango wa kila mwanafamilia, ukiona mke hachangii sana kwenye familia zaidi ya kutumia vya rasilimali Za familia inamaana huyu sio mwanafamilia ila yupo hapo kwa malengo binafsi na mume umeshindwa Kumuongoza Huyo mke vyema, umemuacha aishi uchumba kwenye ndoa.

Kama familia imesacrifce muda kwa mke kwenda Kazini ikiwa na maana watoto wamewekwa kwenye hatari ya kukaa na Dada wa kazi na majukumu ya nyumbani wameachiwa stranger tunataraji huyu mke achangie kwenye familia kwa kutumia muda wa familia hivyo familia inufaike na mateso ya kumkosa mama nyumbani walau kwa mama kuongeza kipato cha familia.

Kama mke anaenda Kazini anaenda ili familia inufaike na nini kwa yeye kwenda Kazini?
Kama familia hainufaika na chochote na kazi ya mke then huyu mke anaihujumu familiar kwa kutumia rasilimali muda wa familia.

Tuoe wake tunaoendana nao na tunaopendana nao ili Maisha yawe ya raha. Mume ni kiongozi wa familia anapaswa kushaurina na mke lakini anapaswa kumuongoza mke. Ukishindwa kumuongoza mkeo umeshindwa vyote na utalalamika ila tatizo ni wewe.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Nimependa ulivyoelezea na huo ndiyo Ukweli wenyewe big up sana Mkuu!! Mwanamke lazima awe na Mapenzi ya dhati kwa familia yake maana yeye ndiyo Mama wa Nyumba,na mwisho wa siku hata hiyo Nyumba atabaki nayo Mama na watoto wake,maana Wanaume tunakufa mapema!!
 
Habari JF.

Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 Million but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Hivi unajua maana ya six figures? Mbona unajichanganya? Six figures huku mkeo anapokea mil. 2?
 
Mwenyewe nimeshangaa... Maana hata Laki moja ni Six Figure . 100,000 just count the digits hapo. Zipo sita.
Kwa case ya Milioni 1-9 hizi ni 7-figure na sio 6-figure.
#nawasilisha
 
Mpaka usubiri uombwe hela utakua umefeli kama mwanaume. Usipompendezesha mwanamke wako jua kua kuna mwenzako atakusaidia kufanya hivyo, ata kama mwanamke anapokea hela ndefu kukuzidi, ni wajibu wako kumuhudumia.
😂😂 kama wife anafanya kazi kwenye sekta rasmi na hela yake haionekani nyumbani. Basi ni dhahiri huko nje atakuwepo "jamaa flani" anayesaidia kuutumia huo mshahara wa wife.
 
[emoji23][emoji23] kama wife anafanya kazi kwenye sekta rasmi na hela yake haionekani nyumbani. Basi ni dhahiri huko nje atakuwepo "jamaa flani" anayesaidia kuutumia huo mshahara wa wife.
Mkuu Sasa unatuaribia wengine huku nje,usiwaamushe waliolala,yeye Kama hana habari na Mshahara wa Mkewe sisi tutakua na habari nao,na ndiyo mgawanyo wa riziki!!
 
Habari JF.

Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 Million but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Andaa maombi ya ukombozi kimya kimya pana kapepo kukutesa anako
 
Back
Top Bottom