Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,442
- 5,746
'Six Figures' ni kuanzia Laki Moja!
Ova!
na inaishia lak9 nashangaa 2m inaitwa six figure
'Six Figures' ni kuanzia Laki Moja!
Ova!
Siyo Watongozaji waongezeke huko Nje kwa njisi unavyopiga pamba Kali!?Pesa yangu ni ya kununulia pamba kali, poch, na viatu ili job madada duu wanikome
Wala sina maana hiyo, mi napenda kupendeza mkuuSiyo Watongozaji waongezeke huko Nje kwa njisi unavyopiga pamba Kali!?
Oh thanks for thy compliment mr extrovert[emoji4]....bado sijala kile kiapo ila Mungu akinijaalia nikapata wakuendana nae hakika atafurahi mwenyewe,maana hakuna kitu kizuri km kuwa na mutual understanding in love with ur better half.Yani mi nashangaa watu wanaosema wake hawapatikani ujue, unajua nimekuja gundua mindset ya mtu ndio ina attract aina ya mke ambaye anaweza kuendana nae [emoji7][emoji7][emoji7]!!!
Unajitambua sana miss desree, i really like your kind of thinking..Mmebaki wachache sana please take it as a Compliment. Sijajua kama umeshafanya kile kiapo but trust me you are such a darling!
sahihi kabisa,mimi ni hivi kila mshahara wake ukitoka lazima ikatwe fungu kwa ajili ya maendeleo,kidogo kitakachobaki ndo achezee na mambo yake.Siwez muacha ajifanyie mambo kiholela,mnapooana maana yake malengo yetu ni mamoja, sasa unafnyia nini ela yako mpka usichangie?Hahah watu mlioanza mapenzi kwenye 30's mnashida sana! Yaani nimpe hela wakati anahela kwasababu ya kuhofia ndoa kuvunjika... serious!
Kama ana mshahara wa 1m+ halafu hautumiki hata kidogo nyumbani nawahakikishia kuna kijana anahongwa huko mtaani...
Kwangu mimi kuchangia ni lazima siwezi kaa na mzigo tena ambao haubebeki! Endeleeni kuaa madume bwege mliopumbazwa na hii mistari ya dini ambayo hata hamjui inamaanisha nini
Nyie watu wa hivi mnapatikana wapi, huku mtaani siwaoni, adimu sana, Mwanamke na nusuOh thanks for thy compliment mr extrovert[emoji4]....bado sijala kile kiapo ila Mungu akinijaalia nikapata wakuendana nae hakika atafurahi mwenyewe,maana hakuna kitu kizuri km kuwa na mutual understanding in love with ur better half.
Sasa na huyo Mwanamke wa kipato cha laki mbili nae kipato chake kikipanda hadi kufika M2 ,je utamuacha ukatafute mwingine wa laki mbili au utamfanyia fitina kipato chake kisiongezeke kibaki hapo hapo kwa laki mbili!?Kunajambo nimejifunza kwann imefikia mahali wanaume wengi wameonekana km marioo. Kutofautiana kipato tu, hv mke anakipato cha milion na nusu na mwanaume anakipato cha laki nane. Hapo lazima mwanaume uonekane km unabebwa na mke lakini laiti mtu huyo hapo kabla angejua akaoa mwanamke mwenye kipato hata cha laki mbili uanaume wake ungebakia wa heshima na pia maendeleo yangeonekana na heshima ingebaki kuwa kubwa kwa mwanamme. Nauzoefu sana na hayo mahusiano mpk naandika hapa.
Hapo mkuu umenena kila mwqnanume lazima afahamu majukumu yake kama Baba na kichwa cha familia.unauwazia mshahara wa mke kwenye majukum yako? hebu acha uboya mkuu.
Anaeza kweli kua mzigo lkn naomba nikuulize kama wewe upo kwa ndoa, je hutumii hela ya shemeji kwa mambo yako? Labda na kazi unayo tayar haijalishi unaingiza kiasi gani kwa mwezi! Kama haupo ktk ndoa ila mahusiano tu ya kawaida na kazi tayari unayo, je huyo mpeñz wako hua unamuomba salio?????!!Huyo sio mwanamke ni mzigo...