Mkuu pia ni jukumu lako kumfanya Mkeo ajuwe kutafuta pesa,hata siku wwe ukitangulia mbele ya haki familia yako ibaki strong,siyo wwe ukifa tu na familia yote inaparaganyika kisa tu ulikua mbinafsi hukutaka mke wako ajishugulishe kutafuta pesa ,kisa tu unaogopa asije akakuzidi kipato!!Hapo mkuu umenena kila mwqnanume lazima afahamu majukumu yake kama Baba na kichwa cha familia.
Mkuje msikilize busara za mjomba wangu ElitwegeKuwa na mke mbinafsi namna hiyo ni mzigo achana nae Oa darasa la Saba
Inawezekana hujui unachokisema! Hakuna kazi nyepesi kama kumvua chupi mke wa mtu asiye na kipatoNilichogundua watu wengi wenye fedha hawawapi wake zao fedha .ndio maana wanagongwa sana nje
Kupanga ni kuchagua. Unaoa mke kwa ajili ya nini?Habari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
[emoji28]Na kweli tunawachelewesha kukua ila hamna namna maana uchakataji wa pesa nao mtihani sekta hii.Nyie watu wa hivi mnapatikana wapi, huku mtaani siwaoni, adimu sana, Mwanamke na nusu
jitokezeni msijifiche mno , tunachelewesha watoto kukua
😂😂😂🔥
Kunatofauti kubwa sana kwa uliyemkuta anazo na yule ambaye mmezisaka wote na kukua kiuchumi mkiwa wote. Huyu aliyekuwa kiuchumi ukiwa naye atakuletea dharau nyingine lakini sio juu ya kipato.Sasa na huyo Mwanamke wa kipato cha laki mbili nae kipato chake kikipanda hadi kufika M2 ,je utamuacha ukatafute mwingine wa laki mbili au utamfanyia fitina kipato chake kisiongezeke kibaki hapo hapo kwa laki mbili!?
Hata mke wa mwenye kipato, hujajua tu ilivyo rahis, pengine unawaogopa bureInawezekana hujui unachokisema! Hakuna kazi nyepesi kama kumvua chupi mke wa mtu asiye na kipato
Mpe hiyo 20 ya kusukia. Ikifika muda wa kulipa ada ya mtoto mwambie umepungukiwa laki 3. Asipotoa hiyo hela vunja ndoa maana huyo sio msaidizi bali ni house girl.Habari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Hawa walipanga kabla ya ndoa. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyoMbona kuna Wanawake akisha pokea Mshahara wake ana kabidhi wote kwa Mumewe,na Mume ndiyo anapanga matumizi! Hao Wanaume wanatumia dawa gani mpaka wanaweza mlainisha Mwanamke hadi anakabidhi mshiko wake!!
Mkuu billie ua right hundred percent, hawa viumbe co wakuchukuliwa poa kabisa ingawaje ndo mama zetu.Wanawake wa Afrika ni ma Parasites kwetu kwani hulijui hilo? Haga kama ulikuwa unampa hela kila jmosi za kikoba chao utaaibika na deni la elfu 50 siku ambayo mkeo ana milion 3 ambazo kavunja kikoba ambacho wewe ulikuwa unachangia kununua hisa na kurejesha marejesho ya mkopo ambao hata wewe huujui ila unachojua kakopa mkeo.
Billie naongea
Ni usenge na ujinga . Hela yake yote anaipeleka wapiHabari JF.
Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
hv namba yako ni ile ile sio?[emoji28]Na kweli tunawachelewesha kukua ila hamna namna maana uchakataji wa pesa nao mtihani sekta hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni ile ile,si unajua mm sibadilishagi nambahv namba yako ni ile ile sio?
haipo kabisa , inaishia na 78Yeah ni ile ile,si unajua mm sibadilishagi namba
Yaap 6278[emoji28]haipo kabisa , inaishia na 78