Hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia akikuuliza kazi unayofanya?

Wakuu habarini[emoji112]

Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya.

Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani?

Kuna rafiki angu alikua kampenda binti kamfata hado kwao kwa maongezi zaid ya uchumba ili achukue jiko. Lakini katika kuulizana ulizana maswali yule binti akamuuliza jamaa kua anafanya kazi gani? Jamaa akajibu ila badae alijitafakari juu ya hilo swali ikabidi aachane uchumba na huyo binti. Atafute mwingine

Tumejaribu kumshauri rafiki zake kwamba aendelee kua nae ila kagoma. Anasema kwamba kwanini aulizwe kazi anayofanya? Anataka ajue kipato anachopata? Je, akishajua kipato anachopata si baadae anaweza akampotezea akipata mwanaume mwingine mwenye kazi na kipato kizuri zaidi? Jamaa anasema huyo dada atakua yupo after money na sio kujenga familia katika hali zote za maisha.

So wazoefu naombeni majibu je jamaa kafanya sahihi au sio sahihi. Na mwanamke alifanya vibaya au vizuri kumuuliza kipato chake?
Anataka kumkadiria kiwango cha kumpiga mizinga mpaka akili zikae sawa jamaa kafanya maamuzi mazuri ku move on mapema.

Pia ikumbukwe siyo sahihi kabisa binti /mpenzi /mchumba kukuuliza kazi unayoifanya au kipato chako. Mke ndiye anayepaswa kujua kazi yako na kipato chako kwa asilimia 45 tuu na siyo vinginevyo.
 
wasiwasi ndiyo akili, ashikilie hapahapa
KE yeyote anayeulizia kipato chako, basi kama ni GF, anakuandalia pakej nzuri size yako ya mizinga
piga chini
Mkuu drone. Waambie vijana wapone wasijibu kwa mihemko, mchumba au mpenzi wa kike akikuuliza kazi yako anakua ana kupimia kiwango cha kukuchuna mpaka ukome. Anae paswa kujua kazi yako na kipato chako ni mke wako tuu tena kwa asilimia 45 na siyo vinginevyo
 
Wakuu habarini👋

Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya.

Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani?

Kuna rafiki angu alikua kampenda binti kamfata hado kwao kwa maongezi zaid ya uchumba ili achukue jiko. Lakini katika kuulizana ulizana maswali yule binti akamuuliza jamaa kua anafanya kazi gani? Jamaa akajibu ila badae alijitafakari juu ya hilo swali ikabidi aachane uchumba na huyo binti. Atafute mwingine

Tumejaribu kumshauri rafiki zake kwamba aendelee kua nae ila kagoma. Anasema kwamba kwanini aulizwe kazi anayofanya? Anataka ajue kipato anachopata? Je, akishajua kipato anachopata si baadae anaweza akampotezea akipata mwanaume mwingine mwenye kazi na kipato kizuri zaidi? Jamaa anasema huyo dada atakua yupo after money na sio kujenga familia katika hali zote za maisha.

So wazoefu naombeni majibu je jamaa kafanya sahihi au sio sahihi. Na mwanamke alifanya vibaya au vizuri kumuuliza kipato chake?
Hee unataka binti ya watu halafu hutaki kutaja kazi yako, ukiwa jambazI? Endelea kutumia sabuni!
 
Wako kimtamthilia hao, field hawajui mambo ikoje
Mkuu drone. Waambie vijana wapone wasijibu kwa mihemko, mchumba au mpenzi wa kike akikuuliza kazi yako anakua ana kupimia kiwango cha kukuchuna mpaka ukome. Anae paswa kujua kazi yako na kipato chako ni mke wako tuu tena kwa asilimia 45 na siyo vinginevyo
Asilimia kubwa ya wapigania haki za wanawake hua wanaume. Wanaona wakijipendekeza watapata kupendwa nao
 
Aliuliza utaweza kunihudumia jamaa kasema ndio.. hafu likafata swali la kazi gani unafanya. WTF
Mkuu hapo binti amekosea wapi? Kuna ubaya gani kuulizwa hilo swali? Mwanamke anataka kujiridhisha kama mtu anayetaka kumuoa anaweza kumanage familia. Sasa kama mambo madog9 kama haya mnamind mtaweza kuanzisha familia nyie?
 
Wakuu habarini👋

Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya.

Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani?

Kuna rafiki angu alikua kampenda binti kamfata hado kwao kwa maongezi zaid ya uchumba ili achukue jiko. Lakini katika kuulizana ulizana maswali yule binti akamuuliza jamaa kua anafanya kazi gani? Jamaa akajibu ila badae alijitafakari juu ya hilo swali ikabidi aachane uchumba na huyo binti. Atafute mwingine

Tumejaribu kumshauri rafiki zake kwamba aendelee kua nae ila kagoma. Anasema kwamba kwanini aulizwe kazi anayofanya? Anataka ajue kipato anachopata? Je, akishajua kipato anachopata si baadae anaweza akampotezea akipata mwanaume mwingine mwenye kazi na kipato kizuri zaidi? Jamaa anasema huyo dada atakua yupo after money na sio kujenga familia katika hali zote za maisha.

So wazoefu naombeni majibu je jamaa kafanya sahihi au sio sahihi. Na mwanamke alifanya vibaya au vizuri kumuuliza kipato chake?
Yeye alitaka aulizwe swali gani?
Yaani anaulizwa unafanya kazi gani anaogopa?
 
Wakuu habarini👋

Naomba kupewa maelekezo na walio kwenye ndoa au watu wenye uzoefu wa maswala haya.

Je, hivi ni sahihi mwanamke unayemchumbia awe mke wako kukuuliza kwamba unafanya kazi gani?

Kuna rafiki angu alikua kampenda binti kamfata hado kwao kwa maongezi zaid ya uchumba ili achukue jiko. Lakini katika kuulizana ulizana maswali yule binti akamuuliza jamaa kua anafanya kazi gani? Jamaa akajibu ila badae alijitafakari juu ya hilo swali ikabidi aachane uchumba na huyo binti. Atafute mwingine

Tumejaribu kumshauri rafiki zake kwamba aendelee kua nae ila kagoma. Anasema kwamba kwanini aulizwe kazi anayofanya? Anataka ajue kipato anachopata? Je, akishajua kipato anachopata si baadae anaweza akampotezea akipata mwanaume mwingine mwenye kazi na kipato kizuri zaidi? Jamaa anasema huyo dada atakua yupo after money na sio kujengai familia katika hali zote za maisha.

So wazoefu naombeni majibu je jamaa kafanya sahihi au sio sahihi. Na mwanamke alifanya vibaya au vizuri kumuuliza kipato chake?
Ni muhimu mke wako kujua kazi unayofanya, unless wewe ni jambazi hapo ndio umfiche atajua mwenyewe mbele ya safari

Sio Mtu unaficha kazi kama unauza mjani
 
Mkuu hapo binti amekosea wapi? Kuna ubaya gani kuulizwa hilo swali? Mwanamke anataka kujiridhisha kama mtu anayetaka kumuoa anaweza kumanage familia. Sasa kama mambo madog9 kama haya mnamind mtaweza kuanzisha familia nyie?
Uoni hilo swali lina impact gani, inamaana ndoa yenu itasimamiwa na kazi siku ukifukuzwa kazi huyo binti ata-refer hilo swali kama Saraha ya kukulaumu kwamba ulisema unaweza nihudumia.

Mwanamke inabidi ujue mwanaume anaweza na yupo tayari ila usiongelee masuala ya pesa hii inaonesha uko sensitive na pesa na kwa uvhumi wetu wa sasa mwanamke wahivi siwakuwanae kamwe.
 
Ni muhimu mke wako kujua kazi unayofanya, unless wewe ni jambazi hapo ndio umfiche atajua mwenyewe mbele ya safari

Sio Mtu unaficha kazi kama unauza mjani
"UNAWEZA KUNI HUDUMIA, JE UNAFANYA KAKZI GANI"

hii pattern ya swali hata mimi nsitisha kuoa kama jamaa imekaa ki after money sana, statement inaonesha huyo mwanamke atakuja kutumia hio sentensi kama silaha huko mbele mambo yakiwa tia maji tia maji.
 
Nimejifunza kitu leo mwanaume jitahidi sana kuwa msiri mwanamke atakae kupenda kwenye nothing huyo ndo mwenyewe coz once ukipendwa sababu ya kazi ukifukuzwa inakuaje ila hata kama ndo azire 😅
 
Huyo jamaa atakuwa hana kazi ya uhakika au n bodaboda bc amejishtukia tuu akaona binti atamdharau, swali la kawaida sana ila jamaa hajiamini
 
Back
Top Bottom