Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumhudumia ni lazima na sio ombi!! Na ndio kigezo cha kwanza kwa mwanaume kumuoa Mke,"UNAWEZA KUNI HUDUMIA, JE UNAFANYA KAKZI GANI"
hii pattern ya swali hata mimi nsitisha kuoa kama jamaa imekaa ki after money sana, statement inaonesha huyo mwanamke atakuja kutumia hio sentensi kama silaha huko mbele mambo yakiwa tia maji tia maji.
Nani aliyepinga mwanaume kuhudumia hapaKumhudumia ni lazima na sio ombi!! Na ndio kigezo cha kwanza kwa mwanaume kumuoa Mke,
Ila kuna kipengele cha shida na raha, uzima na maradhi ambacho kinaingiwa siku ya kufunga ndoa ili kuweka mizania sawa kuwa kuna kupanda na kushuka huko mbeleni
Chochote kitakachotokea kila mmoja awe tayari