Kumhudumia ni lazima na sio ombi!! Na ndio kigezo cha kwanza kwa mwanaume kumuoa Mke,
Ila kuna kipengele cha shida na raha, uzima na maradhi ambacho kinaingiwa siku ya kufunga ndoa ili kuweka mizania sawa kuwa kuna kupanda na kushuka huko mbeleni
Chochote kitakachotokea kila mmoja awe tayari